Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

SAFI SANA MKUUU... Huu utaratibu wa kuchukua vijana 6000 na kuanza kuwapigisha kazi akati unajua kabisa unaweza ajiri 1000 daah ni unyamaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Yani Jeshi inabidi iwe sehemu strict kwamba hawa watapewa mafunzo na kuajiriwaa sio unafundisha watu kutumia silaha alafu kesho huwapi ajira
Mkuu sio jwtz pekee wanaoajiri askari kutoka jkt, kuna polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto , usalama na vitengo vingine nyeti, tatizo vijana wanataka jw peke yake mwisho wa siku wanakosa vyote wanarudi mtaani mikino mitupu.
 
Usaili wa magereza na polisi ulikua ukija mnakwepa mnataka jw hayo ndo matunda yake, wengine sasa wapo polisi na nyota zao nyie mnarudi kitaa kuanza upya
Usiwabeze wale vijana polisi wamechukua only askari 800 hiko si kikosi kimoja tu tena ni kama pale Malamba JKT. Safari hii ajira zilibana sana. Tuwape moyo wale madogo. Mm ningemodify kidogo ile dhana ya JKT. Ningewaongezea na mitaji pindi wamalizapo mkataba wao. Posho ningeongeza kidogo, ningehakikisha ile dhana ya kusema hakuna ajira naifuta na kuhakikisha wale wote wanaofit wanapata ajira katika majeshi yetu. Walipatwa na majereha au ulemavu wa kudumu wanapewa mitaji mikubwa ili kufidia muda wao kwa taifa.
 
NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU., JKT NI CHEAP LABOR KAMA VILE WAKOLONI TU. HUWEZI CHUKUA WATOTO UNAWALIPA ELFU 50 KISA UNAWAPA CHAKULA, WANALIMISHWA MASHAMBA MAKUBWA, WANAJENGESHWA, NA KILA AINA YA KAZI. WENGI WANAPATA ULEMAVU NA HATA MAGONJWA MBALIMBALI.
HII NI CHEAP LABOR. TUPAZE SAUTI ZETU. MM NIMEPITIA HUKO NIMEONA MENGI YASIYO NA HAKI KWA KIGEZO YA UASKARI KUMBE NI UONEVU TUPU.
Ndio mana wanasema kujitolea sio lazima, hujufatwa nyumbani kwenu ili ujiunge na pia haiajiri.
 
Habari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Vijana karibu 6000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mara baada ya kumaliza mkataba wao na JKT.

Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP Magufuli., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.

Mungu awape nguvu vijana wale waliojitolea kupata maarifa.

NB. JKT sasa hivi ni kama sehemu ya kupata cheap labour.
Mmefundishwa kulima karibuni sana mbuga zipo za kutosha
 
Mkuu sio jwtz pekee wanaoajiri askari kutoka jkt, kuna polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto , usalama na vitengo vingine nyeti, tatizo vijana wanataka jw peke yake mwisho wa siku wanakosa vyote wanarudi mtaani mikino mitupu.
Unacho kisema sio kweli, Safari hii mambo magumu hata hizo nafasi za upolisi watu walizigombania na wengi wao walizikosa.
 
Kama: A--->B
2(A)----2(B)
3(A)--->3(B)
A= wahitaji ajira
B=fedha za kuwalipa
Kama fedha hamna print nyingine
 
Huruma sana kwa vijana waliotoboa mkataba, nawaomba watulize vichwa pia wamshukulu M/mungu huenda kuna njia nyingine alowaandikia ridhiki yao.
 
Mkuu sio jwtz pekee wanaoajiri askari kutoka jkt, kuna polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto , usalama na vitengo vingine nyeti, tatizo vijana wanataka jw peke yake mwisho wa siku wanakosa vyote wanarudi mtaani mikino mitupu.
zama za zaman izo unasema ww: OP.Mereran wanatoboa mwez ujao tu apo lkn tangu wamefika usail wanauskia kwenye bomba tu
 
Mkuu sio jwtz pekee wanaoajiri askari kutoka jkt, kuna polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto , usalama na vitengo vingine nyeti, tatizo vijana wanataka jw peke yake mwisho wa siku wanakosa vyote wanarudi mtaani mikino mitupu.
Nahisi ni kwa vile JWTZ wako open sana katika matangazo kuhusu ajira zao, kidogo na police / magereza. Usalama na uhamiaji haziko open kiviiiiile
 
Na mgambo wafanye kazi gani? SUMA JKT iendelee na majukumu yake sio kuingilia kazi za Mgambo
 
NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU., JKT NI CHEAP LABOR KAMA VILE WAKOLONI TU. HUWEZI CHUKUA WATOTO UNAWALIPA ELFU 50 KISA UNAWAPA CHAKULA, WANALIMISHWA MASHAMBA MAKUBWA, WANAJENGESHWA, NA KILA AINA YA KAZI. WENGI WANAPATA ULEMAVU NA HATA MAGONJWA MBALIMBALI.
HII NI CHEAP LABOR. TUPAZE SAUTI ZETU. MM NIMEPITIA HUKO NIMEONA MENGI YASIYO NA HAKI KWA KIGEZO YA UASKARI KUMBE NI UONEVU TUPU.
Kwenda jkt ni sawa na kuwekwe kwenye makambi ya Sabibo yale makambi waliyowekwa wayahudi kipindi cha Hitler
 
NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU., JKT NI CHEAP LABOR KAMA VILE WAKOLONI TU. HUWEZI CHUKUA WATOTO UNAWALIPA ELFU 50 KISA UNAWAPA CHAKULA, WANALIMISHWA MASHAMBA MAKUBWA, WANAJENGESHWA, NA KILA AINA YA KAZI. WENGI WANAPATA ULEMAVU NA HATA MAGONJWA MBALIMBALI.
HII NI CHEAP LABOR. TUPAZE SAUTI ZETU. MM NIMEPITIA HUKO NIMEONA MENGI YASIYO NA HAKI KWA KIGEZO YA UASKARI KUMBE NI UONEVU TUPU.
Mkuu haina haja ya kulaumu, kwani wanavotoa matangazo ya kujiunga na JKT hua wanafafanua kua ni kujitolea, hawajawahi kusema ni ajira.

Tena safari hii wana matangazo yao mengi kwenye TV ambayo wanafafanua kabisa kwamba ni kujitolea, na vijana wanaenda wengi hadi wengine wanarudishwa.
 
Wasilaumu sana. Vijana wengi wamerudi tu kutoka uko OP . Walimu wengi hawana ajira. Tunashindwa kuoa kisa hatuna ajira , Tunaogopa kuwalisha mawe wake zetu. Tumebalance Wote mjiajiri sasa.
 
Back
Top Bottom