Vijana karibuni tuambizane changamoto tulizonazo na jinsi ya kuzitatua

Status
Not open for further replies.
yani ww
Mtoa mada ushamalizana na changamoto yako zidi ya huyu binti SweetieLee au unasubir ufumbuzi hapa

Na Mimi Nina changamoto
Siku hizi nikinywa pombe sisikiiii ladha kabisa natema nikijitahid kunywa nikimaliza roho inaniuma inanisuta najutia nikilala naota mauza uza au ndo nakaribia kufa nini
 
Karibuni vijana wa kike na wakiume nawakaribisha kwenye uzi huu , Labda una changamoto yoyote inayokukabili kwenye maisha hujui jinsi ya kuitatua iweke hapa kuna watu wanaweza kua wmepitia nao changamoto hiyo
Iwe changamoto ya kimahusiano,familia , jamii,uchumi,magonjwa nk
Karibuni. Tusiweke matatizo moyoni unapomuambia mwenzio unakua inaelekea kutatua changamoto.
Karibuni
namna ya kuwa na money discipline..
 
Don't translate it so literal...

Supposed to mean if you're unable to outdo rivals in some endeavour, you might as well cooperate with them and thereby possibly gain an advantage...

Soma zaidi maana ya msemo huo
Nijiunge na wanawake..yaani niwe kama mwanamke? Niwe Gay???
 
Karibuni vijana wa kike na wakiume nawakaribisha kwenye uzi huu , Labda una changamoto yoyote inayokukabili kwenye maisha hujui jinsi ya kuitatua iweke hapa kuna watu wanaweza kua wmepitia nao changamoto hiyo
Iwe changamoto ya kimahusiano,familia , jamii,uchumi,magonjwa nk
Karibuni. Tusiweke matatizo moyoni unapomuambia mwenzio unakua inaelekea kutatua changamoto.
Karibuni
Asee nashindwa kutunza pesa hio kitu inanisumbua sana akili
 
Mtoa mada ushamalizana na changamoto yako zidi ya huyu binti SweetieLee au unasubir ufumbuzi hapa

Na Mimi Nina changamoto
Siku hizi nikinywa pombe sisikiiii ladha kabisa natema nikijitahid kunywa nikimaliza roho inaniuma inanisuta najutia nikilala naota mauza uza au ndo nakaribia kufa nini
😂 😂
Mlevi mmoja, huwa nakuambia kila siku nazipenda mno akili zako, Mie na mshkaji tushamalizana kitambo sana.!!

btw, kwa tatizo lako punguza tu mahusiano na huyo bae wako mbona anakutesa hivyo??
 
Mkuu, huo muda wa kuambizana... Ebu utumieni kutafuta pesa.
Na mkikuwa na pesa, hakuna changamoto yenye uta ambatana nayo wallahi..
 
mapacha hawa hawa tunaowazungumziaga?

au mapacha yule m1 na baba ake jumla wamekua wawili?

pole na majukumu sio siri una haki ya kupotea!
Ahsante sana sana.!!
Vile navyopenda kupewa pole hata za bure.!!
wale tunaowazungumzia bado hatujawafanyia kazi wapo on progress!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom