Vijana karibuni tuambizane changamoto tulizonazo na jinsi ya kuzitatua

Status
Not open for further replies.
Mie changamoto yangu ni juu ujinga mafurushi yanajazana eti wasitusomeshe, kubwa kuliko ni hili la wauaji.
 
mkuu hua najiambia hayo yote kichwani ila tatiyo aibuuuu. sijui zatoka wapi kwakweli, nikiona wasichana nakua mdogo mno siongei kabisa kama sio kuhama. mpaka mtu nimzoee sana.
mimi nawashangaa sana nyie mnaopata madem sijui mnafanyaje. Hua siendi kutoa sadaka sometimes ajili ya hiki..kama nimekaa sehem inayobidi nipite mbele ya wadada mimi siendi
Jitoe akili kidogo
Anza kuzoeana nao taratibu taratibu hata kwa salamu
 
Haha I know we ulikuwa kama Mimi hata salamu mambo siwaambii na nilikua siwaangalii usoni
Nitafanya. Sema nikiwa mwenyewe apa nakua na courage ya hali ya juu ila nikiwaona nabadilika. Don't think if I'm normal
 
Basi usiwashangae ushajibu hapa tayari kuwa hawana akili
Hawana akili.
Hata wakiwaua wale waliosomeshwa wakakengeuka usishangae sababu ushasema hawana akili

Dawa tafuteni na nyie akili ya kujisomesha kuongeza akili wala msishikiwe akili na mkawa hamna akili mkalemaa akili kwa kuwa na akili ya kutafutiwa wakati hata nyinyi mnaweza mna akili ya kutafuta na mkawa zaidi kuliko sisi ambao hatuna akili
Jisomesheni
 
mkuu hua najiambia hayo yote kichwani ila tatiyo aibuuuu. sijui zatoka wapi kwakweli, nikiona wasichana nakua mdogo mno siongei kabisa kama sio kuhama. mpaka mtu nimzoee sana.
mimi nawashangaa sana nyie mnaopata madem sijui mnafanyaje. Hua siendi kutoa sadaka sometimes ajili ya hiki..kama nimekaa sehem inayobidi nipite mbele ya wadada mimi siendi
Numbisa njoo umshauri mdogo wako
 
Basi usiwashangae ushajibu hapa tayari kuwa hawana akiliHata wakiwaua wale waliosomeshwa wakakengeuka usishangae sababu ushasema hawana akili

Dawa tafuteni na nyie akili ya kujisomesha kuongeza akili wala msishikiwe akili na mkawa hamna akili mkalemaa akili kwa kuwa na akili ya kutafutiwa wakati hata nyinyi mnaweza mna akili ya kutafuta na mkawa zaidi kuliko sisi ambao hatuna akili
Jisomesheni
Mtatafuta na mtatusomesha tu.
 
Nimeipenda hii...

MLEVi Mmoja muite barmaid akuongezee, bill kwangu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom