To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,441
- 38,594
Usiitumie mkuu,pombe si nzuri kwetu ila kwa wengine ni nzuriMkuu m nimeona madhara yake kwenye ukoo wetu yaan nikinywa bar nalipa idadi yangu. Nakaa mbali na counter..ukoowetu ukigusa moja tumboni kama tbl imewashwa hukondan agiza nikuagize loh imeua wengi sana