Lil bees
Senior Member
- May 17, 2022
- 143
- 158
Anatutisha wahanga wa hili jamboAmechanganyikiwa [emoji2]
Anatutisha wahanga wa hili jamboAmechanganyikiwa [emoji2]
walimu wangekutana na moto wa ajira portal sijui wangesemajeWalimu mna kimuemue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani pdf yenu ikitoka mtakuwa mnaifungua mnaangalia kama vile mnaangalia matokeo ya form 4 au mnasubiri majibu ya vipimo vya ukimwi
Kuna kale katumbo flan hivi kanauma [emoji3]
Walimu wengi vilaza hatari,ukiangalia walimu wa Certificate Ni brainless kabisawalimu wangekutana na moto wa ajira portal sijui wangesemaje
Tafuta connection Tamisemi achana na kuongaMi natafuta koneksheni uhamisho kuna one millioni niende mkuranga
Aisee kule ni hatari ukikosea kidogo imekula kwakowalimu wangekutana na moto wa ajira portal sijui wangesemaje
Nipe connection ya mtu huyo, laki5 si pesa.Juzi shoganga katoa laki 5 ili apate posti za ualimu,ukweli ni kua rushwa na koneksheni zipo Sana tu!!yaani michezo Pesa tu
Nipe connection ya mtu huyo, laki5 si pesa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] vijana mtalizwa, PDF ishakuwa submitted now Ni uneditable hayo ungefanya before or after deadlineNipe hio connection
Vijana mtalizwa acheni ujingaNipe connection ya mtu huyo, laki5 si pesa.
Wamejichanganya vipi fafanuaNimeona ajira portal wamejichanganya huko aiseee ila wamefuta haraka hilo tangazo la majina ya ualimu na afya
Wamepost tangazo la kazi kwa walioomba ajira za ualimu na afya ila wamefuta saizi. Na wamesema profesa shemdoi ndiye aliye tangaza huko Dodoma. Katika kusoma nimeona walimu 6649 ni certificate na 3000 ni diploma na degree.Wamejichanganya vipi fafanua
Hii kamba kubwa Sana Ajira portal na ualimu wapi na wapi, afu why wenyewe wapost wakati Kuna Tamisemi [emoji2]Wamepost tangazo la kazi kwa walioomba ajira za ualimu na afya ila wamefuta saizi. Na wamesema profesa shemdoi ndiye aliye tangaza huko Dodoma. Katika kusoma nimeona walimu 6649 ni certificate na 3000 ni diploma na degree.
Si ndio maana unaambiwa wamefuta!Hii kamba kubwa Sana Ajira portal na ualimu wapi na wapi, afu why wenyewe wapost wakati Kuna Tamisemi [emoji2]
Uyo anatafuta publicitySi ndio maana unaambiwa wamefuta!
Afu anatoa namba ya simu, eti apigiweSi ndio maana unaambiwa wamefuta!
Eti unashindwa kuattach screen shot,unataka kuwachoma watoto wa watu[emoji2][emoji2][emoji2]Natamani ku-attach screen shot ya hilo tangazo but linagoma kupakiwa. Anayeweza kupakia humu Jf anitafte kwa no
0754876949 nimtumie WhatsApp