Abeid L Msanganzila
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 177
- 392
Sasa publicity Jf ndugu. Anyway kuna niliowatumia screenshot huko whatsp nao wamenyamaza tu hawatumi humu mkaona.Afu anatoa namba ya simu, eti apigiwe
Acha nikuombe radhi kwa hili najua umeudhika but haikuwa attention yangu. Bila shaka nilowatumia wapo.
Very sorry Mr!