Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Kesho sijui utajificha wapi boss wangu
Khaa nijifiche kwani nadaiwa, delay zipo last year Katibu mkuu TAMISEMI aliita waandshi wa habari trh 25/06, ili atangaze ajira, alipata dharura, ikabidi kesho yake trh 26 ndo atangaze ajira, alijirekodi na video iliwekwa kwenye tovuti za TAMISEMI,siku ya trh 26,

So delay zipo but official day Ni kesho
 
Wenye koneksheni za uhakika mpaka sasa wanajua wamo, wewe unayesubiri hadi PDF konekshen yako ilikuwa ya madalali maana hao hawajuagi mchakato unavoendelea mwishoni ndo maana unaeza jikuta haumo.

Ukisikia koneksheni inakwambia et...tuombe Mungu... Ujue ushapigwa tayar means haina uhakika.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila kweli connection za sijui pitia kwa Nani, afu tuombe mungu noma,, connection za ukweli zipo lakini kuzipata sasa
 
Back
Top Bottom