Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,477
- 11,258
- Thread starter
- #501
Mzee wa ijumaa au unaexcuse
VEOs, Makatibu Mahsusi n.kMfano wa hizo ajira??
Tarehe 5/07
Ni kweli. Lakini hizi zingine Barua za maombi ya kazi mfano Afisa Misitu, Afisa Lishe, Daktari wa Mifugo n.k barua inaandikwa kwa Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma (Jenista Mhagama)Tamisemi mkuu,ndo maana barua uliandika kwa Katibu mkuu Tamisemi
Mambo yameiva
Hakuna ajira zitakazo ongezwa labda mwaka ujao wa bajetiAjira zitaongezwa upande wa Elimu na Afya ili kukidhi mahitaji kwa mujibu wa Waziri mwenye dhamana.
Week hii mbivu na mbichi
Kila la kheri vijana tukumbukane kwenye ufalme wenu huko.
Pinguzeni ndoto kubwa maisha ni yaleyale tofauti title tu. Mshahara huwa hautoshi.View attachment 2269004
Few days remain,,,ntajipatia Simu bure[emoji3]Mkuu naweza kupatia majina 10 hapa, mkeka ukitoka yasipokuwepo basi nitakupa simu yangu . UVCCM DAIMa
Naona utabiri wako wa ajira kutoka 24/6 utatimia,ulijuaje wewe?Few days remain,,,ntajipatia Simu bure[emoji3]
Hakuna Siri chini ya Jua, kama jina la Kasim Majaliwa kuwa ndo atakuwa waziri mkuu 2015,lilivuja, kipi kipya tenaNaona utabiri wako wa ajira kutoka 24/6 utatimia,ulijuaje wewe?
Ajira j.mosi shekheHakuna Siri chini ya Jua, kama jina la Kasim Majaliwa kuwa ndo atakuwa waziri mkuu 2015,lilivuja, kipi kipya tena
Sawa BashungwaAjira j.mosi shekhe
😁😁Sawa Bashungwa
Mzee wa ajira ijumaa, kesho kesho ndio ijumaa ni saa ngapi sasa ?Sawa Bashungwa
Khaaa kesho Ni kesho unataka ATA masaaa,[emoji2]Mzee wa ajira ijumaa, kesho kesho ndio ijumaa ni saa ngapi sasa ?
Mafia moja iyo lazima upelekwe kule[emoji16][emoji16]
Mbona fresh tu, nakaa dar kazi nafanya mafiaMafia moja iyo lazima upelekwe kule
Kesho sijui utajificha wapi boss wanguKhaaa kesho Ni kesho unataka ATA masaaa,[emoji2]