Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,476
- 11,256
- Thread starter
- #481
Huyo alikuwa kanjanja tuMida ndo hii wazee wa PDF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2267736
Huyo alikuwa kanjanja tuMida ndo hii wazee wa PDF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2267736
Kuna connection gani na kupata kazi TAMISEMITunajipendekeza kwa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri (DED) maana hawa ndio waajiri.
DC na RC ni watawala kwa level ya Wilaya na Mkoa respectively.
Ng'ombeNimegundua walimu mna viherehere sana sijui nini tatizo? No wonder wanasiasa huwa wanawatumia kama TP.
Vijana wamechanganyikiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi leo umetoka povu hivi utapata uchizi ndugu.....
Embu cheki Duka la dawa hapo akupe haloperidol
Nimezungumza kwa nidhamu ila inaonekana unahasira boss...
Kunywa maji lala acha makasiriko kwani nilikunyima ajira mimi
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Sana.Haaa vijana wamevurugwa
Tunasogeza mkeka mbele Hadi mwezi wa 8Sa itakuaje pdfView attachment 2268019
Kwani mkuu hujui kuwa DED yupo connected na TAMISEMI? Hujui kuna ajira za moja kwa moja kwenye Halmashauri aliyopo?. Acha tujipendekeze huko asee.Kuna connection gani na kupata kazi TAMISEMI
Sa itakuaje pdfView attachment 2268019
PDF imeungua wajuba[emoji23][emoji23]....Aliechoma ataenda mbinguni kwa Link[emoji119]Sa itakuaje pdfView attachment 2268019
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]PDF imeungua wajuba[emoji23][emoji23]....Aliechoma ataenda mbinguni kwa Link[emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]PDF imeungua wajuba[emoji23][emoji23]....Aliechoma ataenda mbinguni kwa Link[emoji119]
Mfano wa hizo ajira??Kwani mkuu hujui kuwa DED yupo connected na TAMISEMI? Hujui kuna ajira za moja kwa moja kwenye Halmashauri aliyopo?. Acha tujipendekeze huko asee.
Naomba kuuliza hivi wizara inayohusika na kuajiri au kupitia maombi ya watu walioomba Ajira yani walimu na afya Ni ipiMto wa mbu, unachekesha sijui unaishi nji gani TZ kweli? Everything kimekuwa centralised ajira zote ni utumishi ofisi ya Rais so basically mwajiri mkuu ni Rais mwenyewe. Hili lilifanyika ili kupolitisize position zote kwa faida za kisiasa. Nafasi zote hata za kiteundaji zimegeuzwa za kisiasa wala sicho unachokizungumza. Yametumika mamilion ya fedha kufanya structural/sectoral reforms miaka iliyopita leo kila kitu kimetupwa kapuni au flushed into drains. Nimemsikia Waziri wa fedha akisuggest some post serilkalini zitangazwae na kufanya usaili wa wazi kufuata qualifications and uzoefu wa kazi tarajiwa na sio qualification za kisiasa. Tafakari.
Tamisemi mkuu,ndo maana barua uliandika kwa Katibu mkuu TamisemiNaomba kuuliza hivi wizara inayohusika na kuajiri au kupitia maombi ya watu walioomba Ajira yani walimu na afya Ni ipi
1.Tamisemi (Bashugwa) 2.Wizara ya Ajira,Sera,vijana(Ndalichako) 3.Wizara ya Utumishi(Jenister)
Naombeni mnifafanulie hapo
Jengo la hapo town Mkapa, makao makuu kule Mtuba pako salamaHali ni mbaya na jengo limechomwa