Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

Hayo Ni matikiti maji yanabatisha
Kibuyu kweli wewe. Kujua kusoma na kuandika basi ni shida kwa wengine. Unaweza kuwa mjanja ila ukawa mbumbu wa fikra. Iyo taarifa ukiisona tena utaelewa vzr tu.
 
Hi hope mko poa Sana.

Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.

Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.

Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, hata mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.

Badirika
Connection zipo sanaa usitake tutaje watu humu ndani mkaanza kutusaka wapo watu wamepata kazi kwakua baba zao au ndugu zao ni wakubwa huko, yuko mtoto flan baba ake ni mkaguzi flan wa mahesabu wizara flan mwanae alipata kazi T.r.a wakati huo walitaka watu wa degree yeye alikua ndio kwanza kamaliza diploma chuo. Cha kodi na akasema mzee ananifanyia mpango T.r.a na kweli alipata. Yuko ktb mkk wizara flan alimuahidi mtoto wa rafiki ake kazi wizara ya afya na kapata na yupo boss mmoja TSF alimtafutia kazi ustawi wa jamii mtu flan alimwambia tuma maombi kisha nambie na akapata...hiyo ni mifano tu usitake tufumue kwingine mtu anaitwa Msafiri kazini anaitwa Peter
 
Duuuu hii TZ kiboko,,,Basi za Tamisemi kwa kua ni Maelfu watakuwa wameingizana sana
 
Hivi haya mambo huwa yakoje?, nimemsikia Rais Samia akisema Zanzibar inatarajia kuajiri walimu 4000. Ina maana mahitaji ya Zanzibar Ni nusu ya huku bara ambako ajira zilizotangazwa ni 9800.
 
Yaaani huu muungano hapana, Zanzibar Ina shule chache kuliko mkoa wa Kilimanjaro
 
Connection zipo sanaa usitake tutaje watu humu ndani mkaanza kutusaka wapo watu wamepata kazi kwakua baba zao au ndugu zao ni wakubwa huko, yuko mtoto flan baba ake ni mkaguzi flan wa mahesabu wizara flan mwanae alipata kazi T.r.a wakati huo walitaka watu wa degree yeye alikua ndio kwanza kamaliza diploma chuo. Cha kodi na akasema mzee ananifanyia mpango T.r.a na kweli alipata. Yuko ktb mkk wizara flan alimuahidi mtoto wa rafiki ake kazi wizara ya afya na kapata na yupo boss mmoja TSF alimtafutia kazi ustawi wa jamii mtu flan alimwambia tuma maombi kisha nambie na akapata...hiyo ni mifano tu usitake tufumue kwingine mtu anaitwa Msafiri kazini anaitwa Peter
Mkuu connection hatupati huko?
 
Huhitaji kumwambia kila kitu...asiejua maana..haambiwi maana
 
Hahahaa..huko mpaka uwe na mbuyu ndio wanaitana yani asali inalambwa na wenye ulimi mrefu, yan wanaopata kule bila connection ni wachache sana
Mmm yaani majina 9800 useme wanaopata bila connection Ni wachache, Hivi unajua ATA majina elfu Mbili sio mchezo
 
Back
Top Bottom