thephilanthropist
Senior Member
- Aug 28, 2020
- 171
- 262
Utakua unamjua Mama Quantity pale Sua getini
Mimi kioja changu wakati naripoti Nimetoka kunywa hapo mjini ilikuwa SAA 7 baada ya bia zangu kadhaa nikaita bodaboda mpaka sua na begi langu nyuma nikafika nikaenda sehemu ya usajili na begi langu la mgongoni sikulifunga nyuma vzur nikaishia kudondosha vitu kadhaa huko njiani sina habari
Kwenye usajili nilikuwa naongea pumba mdomo unatoa harufu ya pombe hata kweny ile hospital yetu ambapo unaenda Pima afya wakati naenda walijua kabisa huyu kanywa nurse mmoja pale akamuita auxiliary police wale walinzi wetu sua anisaidie kidogo nimalizie usajili ukwel yule mzee alicheka sana akaniambia kijana wewe sio mzima sipo makini akaniambia umeletwa kozi gan nkamwambia agricultural engineering akasema engineer mlevi we kweli umalizi chuo nkacheka nkamwambia sawa mzee
Nashkuru nilimaliza usajili ndani ya siku 3 ela nilitumia vibaya kwenye pombe ilinibidi niwe nanunua ukoko plus yule mama kibandani alinizoea nikawa ananijazia