Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,733
- 218,317
Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao .
Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni kutokana na chuki tu za awamu iliyopita , kuna taarifa kwamba mazungumzo kati ya Uongozi wa Tanzania Daima na Waziri yamefikia pazuri .
View attachment 1750954
Kuna dalili fulani huenda akang'olewaHuyo Dogo Abbas asiwepo nuksi tu huyu dogo ....tulimpigisha deki akiwa njuka ....hana lolote tunamjua msaka tonge tena JK anamlia timing tu alimjibu kwa dharau na kejeli subiri zamu yake yaja
Zamu yake ishafika na yeye anajua ndio maana kaufyata kabisa.Huyo Dogo Abbas asiwepo nuksi tu huyu dogo ....tulimpigisha deki akiwa njuka ....hana lolote tunamjua msaka tonge tena JK anamlia timing tu alimjibu kwa dharau na kejeli subiri zamu yake yaja
Ni jambo jema!
Dr Abbas alikuwepo?
atakuwa hakuwepo bwashee, nuksi kwel huyo mgosi!Ni jambo jema!
Dr Abbas alikuwepo?
Huyo Dogo Abbas asiwepo nuksi tu huyu dogo ....tulimpigisha deki akiwa njuka ....hana lolote tunamjua msaka tonge tena JK anamlia timing tu alimjibu kwa dharau na kejeli subiri zamu yake yaja
Itakua ya kwenye magome ya mikoroshoPhD yake sijui ni kwanini inampa Jeuri!!!
Ni jambo jema!
Dr Abbas alikuwepo?
Hawa vigogo ni akina nani? hebu ipe maelezo picha yako!Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao .
Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni kutokana na chuki tu za awamu iliyopita , kuna taarifa kwamba mazungumzo kati ya Uongozi wa Tanzania Daima na Waziri yamefikia pazuri .
View attachment 1750954
Itakua ya kwenye magome ya mikorosho
Maana hamna kitu kichwani kwake