Vigogo wa Gazeti la Tanzania Daima wafika ofisi za Wizara ya Habari na Michezo kwa Majadiliano kuhusu hatima ya gazeti hilo

Wewe si ulisema umembishia Abbas sasa kiko wapi? Tulikwambia Busara ni kwenda wakajieleze,kutoa mapovu hapa JF hakutawasaidia. Sasa nani mshindi kati ya Kina Abbas na wewe uliyekuwa unatokwa povu hapa.Vi online Tv peke yake ndivyo vimefunguliwa nyinyi wengine kajielezeni kwanza.
Tanzania Daima ilifutiwa leseni , haikufungiwa
 
Bwana mdogo anajichekesha kwa waziri
Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao .

Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni kutokana na chuki tu za awamu iliyopita , kuna taarifa kwamba mazungumzo kati ya Uongozi wa Tanzania Daima na Waziri yamefikia pazuri .

View attachment 1750954
 
Kwenye Yeye kutokuwa na Akili nitakubishia mpaka mwisho wa dunia kwakuwa ninamjua vyema tu.

Japo hata Mimi Generalist huwa ananikwaza na kuniboa, ila Jamaa ( Dkt. Abbas ) ni very Brainy Ndugu.
Sawa
Sasa kama walikua ni wa tv tu
Kwanini wenye magazeti wanaenda kuonana na waziri?
Haoni kama kibarua chake kipo mashakani?
Maana kama magazeti yatafunguliwa basi atakua hana kazi na alitaka kupotosha kauli ya sasha
 
Wewe si ulisema umembishia Abbas sasa kiko wapi? Tulikwambia Busara ni kwenda wakajieleze,kutoa mapovu hapa JF hakutawasaidia. Sasa nani mshindi kati ya Kina Abbas na wewe uliyekuwa unatokwa povu hapa.Vi online Tv peke yake ndivyo vimefunguliwa nyinyi wengine kajielezeni kwanza.
Kujieleza huwa ni kabla ya hukumu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom