Vigezo. . .

Nitapataje ukaribu na ww kama sio kukupatia kaka yangu jamani!ebu we sema.....kama vp nipe babako tukate mzizi wa fitna

Hahahaha. . .Yummy we hujatulia. Mie nna kaka yangu mmoja hivi anahitaji mtu wa kumnyoosha. Nikupe?
 
So you think wanaume hatujali watoto??

OLESAIDIMU hiyo niilekeza kwa Erry kuhusiana na lile kundi la 'miss Erotica'. . ila naomba nijibu swali lako anyway. Sio wengi kama ambavyo ningependa kwakweli. Wengi sio responsible enough. . .na ni wabinafsi kupitiliza.
 
I spare this..........
 
...next time njoo na namna gani naweza mtengeneza wangu awe ni COMBINATION ya kundi c, e na f...nafurahi kutambua haya mambo afu yakiwa yanatoka kinywani/akilini mwa mdada nahisi kabisa nimemeliza kazi ya kupenda ni kujitwist tu nizipate c, e na f then niumbe kitu kimoja..
 
kuna mtindo siku hizi, hao miss independent, siku za jmosi, wanaendesha gari zao na kuweka msururu wa magari, barabara ya uhuru. Gari kama X-trail, murano, ford, rav 4 2008, na mengine mengi, ili kuonyesha kwamba wanazo.
 
...Ujue miondoko kama ya Naomi Campbell siyo unatembea kama unataka kuanguka hahahaha lol! uwe na wowowo kama la Jennifer Lopez alipokuwa na P. Diddy....kazi kweli kweli haya mahusiano ya kisasa! :):)

Last edited by a moderator:

segere
Ohhhh hiyo rahisi sana. . .unamchukua wa kundi 'b' alafu unamridhisha. . . utashangaa mwenyewe atakavyokuwa.
 
Last edited by a moderator:

Heheheheh. . kijiwe si niliona kimekimbiwa bana. Kila nikienda 'holaa'. . nikifikiria kuita naogopa usikute mwenyewe ulikimbia vibaka waje kunikaba mie. Nikabaki nakumbukia tu those days!! Lolz

jouneGwalu kama ni hilo tu. . .ahhhh we ondoa shaka. Hata nikikukanyaga you won't notice.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy Mwanaume kamili now is back.

JB WISER muda wa kulala? Hutaki mwanamke kamili akue ehhhh?
Nimependa your analysis! Hiyo ndo hali halisi na tunaishuhudia.

Kumbe sijadanganya ehhhh?
kuna mtindo siku hizi, hao miss independent, siku za jmosi, wanaendesha gari zao na kuweka msururu wa magari, barabara ya uhuru. Gari kama X-trail, murano, ford, rav 4 2008, na mengine mengi, ili kuonyesha kwamba wanazo.

Sasa Habdavi msipoonyeshwa mtajuaje sio wote wanahitaji kuhongwa?
 
Last edited by a moderator:
...Ujue miondoko kama ya Naomi Campbell siyo unatembea kama unataka kuanguka hahahaha lol! uwe na wowowo kama la Jennifer Lopez alipokuwa na P. Diddy....kazi kweli kweli haya mahusiano ya kisasa! :):)

Lolzzz BAK. . . usasa unatuchosha wenyewe tunauleta na kuuendekeza. Demands ziko juu kama mlima Kili.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
kuna mtindo siku hizi, hao miss independent, siku za jmosi, wanaendesha gari zao na kuweka msururu wa magari, barabara ya uhuru. Gari kama X-trail, murano, ford, rav 4 2008, na mengine mengi, ili kuonyesha kwamba wanazo.

Suala sio kujionyesha tu, bali wanazo kweli!!
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom