Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,435
- 1,621
Habari Tanzania !...
Kwanini hatuna kiwanda cha kuchakata mpunga kuwa mchele yaani ile Heavy Rice Mill ambazo aidha ziwe kikanda au kimikoa. Hapa nachochea hali ya kuwa na uwezo wa soko kubwa na upatikanaji wa bidhaa kirahisi na bei za mchele uwe kitonga.
1. Ajira za moja kwa moja zitakuwa nyingi sana.
2. Soko la mchele litakuwa kubwa sana.
3. TRA na Halmashauri mtapiga hela mpaka mchanganyikiwe.
4. SUA mtakimbiliwa na watu kwa huduma ya mafunzo ya muda mfupi nyie.
NB
Hii nchi haya bwana.