Pesa ya kulea hao watoto unayo lakini au ndo utakuwa unamwacha mwenzio akaombe matambara kwa jirani?Hapo njia ni moja tu nikupiga mimba kila wkt hawezi badilika anakuwa busy na kulea kila baada ya mwaka mmoja na nusu napiga mimba ingine lengo kumfanya busy na kulea hata saloon atakuwa anasahau kwenda
Si anajua mi ni miss desperate? basi hapo anajua kapatiaaaa!SI hana adabu. . .badala ya kukanusha kuwa wewe sio miss desperate kaunga mkono hoja kwa taarifa za ndoa.
Mimi nitakua kundi g haya Lizzy hebu fanya mpango uliweke hapo
Msafara wa Mamba kenge huwa hawakosekani hata siku moja, na ukiukaguwa vizuri utawakuta hadi mijusi na magong'ore. Jingas kabisa wewe.
Hahahhahaha. . .g) Miss 'anything goes'. . .
Vigezo nisaidie wewe.
aaaaaaaaah mimi sina vigezo wala nini kwani ni gari hilo?Tofauti na zamani siku hizi vigezo vya mwanamke kumkubali mwanaume ili awe mume na baba watoto wake vimeongezeka maana wadada wanajanjaruka siku hadi siku. Zamani muhimu ilikua 1. Anatoka kwenye familia nzuri. 2. Hawana matatizo ya akili/magonjwa ya kurithi 3. Ana kashamba kake kama sio kanyumba hata ka udongo na mengine yangejiset baadae.
Siku hizi bana vigezo vinatofautiana kuendana na aina fulani ya wanawake.
a) Miss dependent
1. Uwe 'mwanaume' hata kama ni kwa muonekano tu.
2. Uwe na pesa.
3. Uwe tayari ku-act kama mzazi wake maana anakuhitaji kwa kila kitu.
b) Miss independent (Miss Jeuri. .sio mjeuri). . .maana sio tegemezi kifedha, kihisia wala kifikra.
1. Uwe mwanaume kamili. . .hataki tabu.
2. Kichwani kuwe na kitu cha maana. . .
3. Muonekano wa kumridhisha (yaweza kuwa vyovyote) . . .
4. Uwe na heshima kwake. . .
5. Usiwe mgomvi
6. Uwe mwaminifu
7. Uwe tayari kukosolewa/kuwekwa sawa.
8. Uwe na maisha yanayoeleweka.
9. Uwe mwelewa.
10. Uwe safi kitandani.
11. Uwe msikilizaji mzuri.
c) Miss Erotica (@Erotica haki zimehifadhiwa mwaya)
1. Be good in bed. . .
Mengine mbele kwa mbele.
d) Miss Desperate.
1. Mwambie "NTAKUO/NATAKA KUKUOA".
2. Kuwa na kanyumba ka kumweka hata kama ni cha kupanga.
3. Ongelea maswala ya kumpa mimba.
e) Miss Certificate
1. Kuwa na degree
2.Kuwa na PhD. . .
3. Itwa Dr. , Eng. , Prof. Fulani
4. Kuwa na vijisenti kidogo
5. Ongea kiingereza
f) Miss 'Born again'
1. Uwe mkristo.
2. Ujiite mlokole.
3. Upende maongezi yamhusuyo Mungu.
4.Upende kwenda kanisani na shida/mapungufu yako yote yataonekana ni 'mpango wa Mungu'.
JB WISER. . .there you go . . .
:A S 109:Lizzy, Lizzy, Lizzy unanionea mtoto wa mwenzio mweeeh.....chagua ingine pliiiiz najua unaweza lol
b) Miss independent (Miss Jeuri. .sio mjeuri). . .maana sio tegemezi kifedha, kihisia wala kifikra.
1. Uwe mwanaume kamili. . .hataki tabu.
2. Kichwani kuwe na kitu cha maana. . .
3. Muonekano wa kumridhisha (yaweza kuwa vyovyote) . . .
4. Uwe na heshima kwake. . .
5. Usiwe mgomvi
6. Uwe mwaminifu
7. Uwe tayari kukosolewa/kuwekwa sawa.
8. Uwe na maisha yanayoeleweka.
9. Uwe mwelewa.
10. Uwe safi kitandani.
11. Uwe msikilizaji mzuri.
Lizzy.............hawa ndiyo waliowengi lakini huishia kuwa wenyewe...................hakuna mwanaumme mwenye hizi sifa zote...........mie sina.........................hata nusu yake kwa hiyo hawa siwawezi......................labda kama unataka kufa na ugonjwa wa moyo au kiharusi ili uwaridhishe...........
Know wat brother hawa the so named independent kipindi cha ujana tulikuwa tunawaita "Miss know it all" wa aina hii ndo easy kuwa nao koz wao kwanza wanamakovu lukuki wanajidai wagumu nje ndani sooooo fragile so ukiwa strategic mwanzo tu baaas anakuwa mtumwa as hawana siri na hawataki kuonekana wanashindwa....atakuweka mbele wewe kama nyota ya jaha kila uchao kutambulishwa kwa mashosti hapo we kazi ku smile na kuongea only when necessary tena kidhungu mbele ya mashosti wake, wakati mnaondoka mfungulie na mlango, akikaa mkiss, mvutie mkanda, hakikisha wenzake wanaona ili wakiwa wenyewe kazi iwe kukuongelea tu!!!!! So baaadaye taratibu unarudi kundini (thug loving) na anakuwa ndege tunduni wako as anakuwa kashatangaza mji mzima kuwa kapata Mr Rite so hawezi tena enda kuanza kusema vinginevyo................................huyooooooo unaburuzaaa taaaaaaani yaaakooooooo BUT YU MUST BE XTREMELY GUD IN THE ART OF LOVE....................
Kama wapo humu na wanabisha wajitokeze KAMA HAYA HAYAJAWAKUTAGA
OLESAIDIMU
Hahahahaha. . .umenifurahisha kweli. Nadhani tunahitaji kundi lingine kama kina 'miss independent' wanakamatika kwa mapenzi ya mvulana na msichana.
Haya kama umekubali kubadili kundi.....nasubiri update hapa as I do know kwamba the more complicated a woman get the easier a prey she becomes...............it just need a man to be smart na kujua mahitaji yake na sio neccessary kuyatekeleza kama atakavyo...................do you agree that love is all about tricks?????