Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

Hapo kwenye red nimecheka mpaka basi... Mifano yako inachekesha sana maana hata sijawahi wazia ati Msalaba ukiwekwa ndio nidhanie kuwa ni Yesu... uwepo usiwepo ni wa kazi Gani? Maana hauleti maana yeyote kiimani wala wokovu mnaouamini... maana mmeambiwa usafi wenu kwa matendo mema na kufuata Sheria za Mungu na si za catholic ndizo zitawapeleka Mbinguni ambapo hakuna kitu kama hicho wala uthibitisho wake... Ni Upuuzi kuweka hayo Makitu sehemu za Ibada.. na huwezi sema ni Imani zaidi ya upotoshaji ambao haupo kwenye Biblia unayoiamini nadhani siri za Utawala wa Vatican huutambui lengo lao ni nini zaidi ya kupotosha ili mtu asiwe na uelewa wowote na akieleweshwa aone kama anadhihakiwa but someni Biblia zenu mfuate Sheria za Mungu wenu na sio Sheria za kanisa... Jesu hakuwa Dini hiyo utambue na hata anavyofuatwa sio kwa aliyofundisha yaaani ni total different.

Mkuu pia Tambua me huwa Sibahatishi... as per your own Bible Kitabu cha kutoka kimekataza kabisa kumake Sanamu na kuliabudu kulisujudia na kulitumikia... kwa catholic huwezi kuwa mtetezi wake kwani wao ndio wameamua kuweka masanamu na kuyasujudia hivyo huna rights zozote kukataza mtu asizungumzia la sivyo zile kengele zisingepigwa makanisani kuita watu... Wengi Sana mpo njia potofu hamuoni vizuri ila one day mkijua mtakuwa huru na minyororo mliyofungwa na hao wafanyabiashara za chuma ulete...

"Catholics worship statues!" People still make this true claim. Because Catholics have statues in their churches, goes the accusation, they are violating God’s commandment: "You shall not make for yourself a graven image or any likeness of anything that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth: you shall not bow down to them or serve them" (Ex. 20:4–5); "Alas, this people have sinned a great sin; they have made for themselves gods of gold" (Ex. 32:31).
9a56b227-65ba-4426-99dd-bd83c503fbe1.jpg
p6.jpg
mary-idolatry-pray-to-mary-statue.jpg
processionmary1024.jpg
altar.png
Pope-Easter3.jpg
idol_024.png
This is best answer men
 
Hivi pale msikitini kwako kale kapicha ka mwezi kanamaana gani ,Si ukaondoe ili upunguze madole yanayokunyooshea wewe kabla ya kidole kimoja cha msalaba
 
i have nothing am free... sina kanisa sina msikiti... naufahamu wa dini zenu za kisanii zilizowafungwa fikra zenu... za kwenu za kiafrica hata hamzizungumzii
 
Nitakukubalia "if and only if Kanisa Katoliki" is bigger than the Word of God! But I quoted the God's Word as narrated in the Gospel of John. God's Word = God, there is no way Kanisa Katoliki formed by men to become greater that God. If Kanisa Katoliki is greater than God's Word then Papa is god!
Poleni sana!
Pole, naona unaumiza kichwa bure.

Nasadiki kwa MUNGU MMOJA BABA MWEYEZI

NASADIKI KWA ROHO MTAKIFU BWANA MLETA MZIMA.

NASADIKI KWA KANISA MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.

NAUNGAMA UBATIZO MMOJA.

NA HIHI NDIO IMANI YANGU, AMBAYO NAONA FAHARI KUINGUMA LEO.

Raha Sana kusali kanisa katoliki, afu upate fr mkarismatiki akufundishe bible na kufanya maombi....
 
Moja ya kigezo kimoja,ni huyo "mtakatifu" KUSABABISHA muujiza wakati wa uhai wake na baada ya kifo.

Eti fulani kasababisha muujiza.kwani yeye kawa Yesu/Mungu???

Wakatoliki mmechanganya sana mambo ya kipagani kwenye dini yenu.
 
Mlaleo.

Jiepushe na mabishano ya Dini.
Mkuu Mabishano? me sibishani me huwa naweka Nondo tu msema ukweli si ndio mpenzi wa Mungu wanasema... kuweka vitu wazi ni faida kwa wengi...
 
USHAJIULIZA WHY HAWAMPI HUO UTAKATIFU AKIWA HAI?........JIBU NI KUWA ANGEKATAA
 
1.Je binadamu ana mamlaka ya kumtunuku utakatifu binadamu mwenzake?

2. Vigezo gani huzingatiwa mpaka mtu apewe utakatifu?
3. Utakatifu wa mwanadamu unapimwaje?

4. Endapo mtu anatunukiwa utakatifu na binadamu wenzake halafu kumbe mtu huyo ni chukizo mbele za Mungu hapa inakuaje?
Hakuna mtakatifu aliye Duniani
Kwa Imani yangu lakini.
 
Mkuu Mabishano? me sibishani me huwa naweka Nondo tu msema ukweli si ndio mpenzi wa Mungu wanasema... kuweka vitu wazi ni faida kwa wengi...
Aya
 
Moja ya kigezo kimoja,ni huyo "mtakatifu" KUSABABISHA muujiza wakati wa uhai wake na baada ya kifo.

Eti fulani kasababisha muujiza.kwani yeye kawa Yesu/Mungu???

Wakatoliki mmechanganya sana mambo ya kipagani kwenye dini yenu.
Wewe unaumiza kichwa bureee, tumeipenda wenyeweee, pole Sana.
 
Pole, naona unaumiza kichwa bure.

Nasadiki kwa MUNGU MMOJA BABA MWEYEZI

NASADIKI KWA ROHO MTAKIFU BWANA MLETA MZIMA.

NASADIKI KWA KANISA MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.

NAUNGAMA UBATIZO MMOJA.

NA HIHI NDIO IMANI YANGU, AMBAYO NAONA FAHARI KUINGUMA LEO.

Raha Sana kusali kanisa katoliki, afu upate fr mkarismatiki akufundishe bible na kufanya maombi....
hivi kwanini papa anaitwa baba mtakatifu wakati imekatazwa?
 
Hakuna kitu kama hicho, huo ni usanii tu watu wameamua kudanganyana
 
Kwa kuwa ni msomaji mzuri wa Biblia nenda kasome na ile kauli ya huyo Nuru aliposema haya yafuatayo:
1. "Ninyi" ni chumvi ya ulimwengu.Chumvi ikiharibika hutiwa nini hadi ikolee? Haifai kilichobaki ni kutupwa huko nje na kukanywagwa na watu".

2. "...Ninyi ni nuru ya Ulimwengu.Taa ikiwashwa haiwekwi chini ya pishi(chini ya uvungu) bali huwekwa juu ya Kiango ili iangaze....."

Hao waliokuwa wanaambiwa maneno hayo ni akina nani?Je warithi wa hao walengwa hapo ni akina nani dunia kizazi hiki leo?

Kwa kuwa wewe ni msomaji mzuri kafanye utafiti ujue mchango wa Kanisa Katoliki duniani kuanzia Elimu,utamaduni,uchumi., Siasa/uongozi na nyanja zinginezo.Mchango wa Kanisa Katoliki katika kuboresha maisha ya mwanadamu ndio nuru yenyewe ninayoiongelea na ndiyo anayoiongelea Yesu Kristu(Nuru Kuu).
Yesu ni sawa na mshumaa mkubwa.Mishumaa mingine midogo huweza kuwashwa toka mshumaa mkubwa.

Yesu alimsimika Petro kuwa mshumaa wa kanisa lake pale alipomtawadha kuwa kiongozi wa kanisa lake."...wewe ndiyo Petro(mwamba) na juu ya mwamba huu nitajenga Kanisa langu..."

1 & 2 ni Mathayo 5:13-15
Mwenye dhambi yuko chini ya himaya ya shetani (gizani). Mtu ambaye anamwamini Kristo na kulitii Neno lake yuko chini ya himaya ya Yesu Kristo (nuruni). Mtu huyo kwa kuwa Yesu Kristo (nuru) anaishi ndani yake, anakuwa nuru (imparted light) katikati ya wenye dhambi. Pia tabia za kimungu (Wagalatia 5:22-23) zitaonekana kwake zitakazomfanya aonekane tofauti (nuru) katikati ya walimwengu wenye dhambi. Mtu huyo anafananishwa na chumvi!

Kuhusu Petro, imeandikwa katika Mathayo 16:18 - Mkutadha wa andiko hili uko Mathayo 16:16 - kanisa (mtu) la Kristo litasimama juu ya ukiri huu. Siyo kanisa (jengo) kujengwa juu ya kaburi la Petro. Kama ni kanisa (jengo) kujengwa juu ya kaburi la Petro, je kanisa limejengwa juu ya shetani (Mathayo 16:23)?

Hakuna anayeweza kukebehi mchango wa kanisa katoliki katika nyanja za elimu, utamaduni, uchumi, siasa/uongozi, n.k. Haya yote yanahusu ufalme wa ulimwengu huu (Yohana 18:36 - Ufalme wa Yesu haukuwa kutawala ulimwengu) ndiyo maana Yesu hakuanzisha shule, benki, jeshi la vita, n.k. Yesu alikuja kujenga ufalme wa kiroho ili watu watakaomwamini na kulitii Neno lake wawe spiritual giants dhidi ya shetani (Waefeso 6:11-12) na siyo kuwa wababe wa kidunia (kumiliki uchumi, kuongoza mifumo ya kiutawala, majeshi, nk.)
 
Wakatoliki wanapotosha sana ukristo. Miongoni mwa upotoshaji ni suala la utakatifu. Wanasema eti kuwa mtakatifu lazime apitie mchakato mrefu na Mara nyingi ni lazima afe kwanza. Kwa maana nyingine utakatifu ni umashuhuri.

Lakini Biblia inazungumzia utakatifu kama hali ya usafi wa kiroho anaoupata mtu baada ya kumpokea Yesu.
Biblia inaeleza kila mtu anaweza kuwa mtakatifu akiwa duniani. Soma Zaburi 16:3 Watakatifu walioko duniani ndio bora ninaopendezwa nao.

Maana yake Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani, sio wafu.

Mungu pia anahimiza watu kuwa watakatifu. 1peter 1:15. Bali kama yeye aliyewaita alovyo mtakatifu, iweni watakatifu katika mwwnwndo wenu wote.

Kwa hiyo mchakato wa kuwa mtakatifu ni kumwamini Yesu na kuokoka, sio upotoshaji unaofanywa na wakatoliki.
 
1.Hivi mwili haufai kitu siyo? Kwa nini Yesu alitwaa mwili ili aje duniani?Kwa nini alichagua kupitia kwenye tumbo la Maria(mwenye mwili wa mwanadamu?

2.Kama miili hii inayohangaikiwa na Kanisa Katoliki(ni kwa ajili ya Ulimwengu huu tu) je unaweza kunionyesha mwili aliozikwa nao Yesu uko wapi hapa duniani?Kama mwili huu Mungu anauona hauna maana yoyote kwa nini Mungu alimfufua Yesu pamoja na mwili wake? Je umewahi kuona hata gamba la mwili wake kwamba lilisalia kaburini?Je umewahi kusikia kuwa kaburi lile alimozikwa kuna harufu yoyote ile ilikuwa inasihisika sababu ya mwili ule(unaona wewe hauna thamani) kuvunda?

3.Je, tunaposema Kanisa Katoliki kwa nini unafikiria tunamaanisha majengo? Kwa nini unafikiria tunamaanisha jengo lililojengwa juu ya kaburi la Petro? Je Yesu naye alimaanisha hivyo? Kuna vitu vingi sana bado huvielewi.Bado kuna mahali unasoma Biblia kama Novel.
 
Umekosea sana mkuu tena sana hakuna mkatoliki dunia nzima anae amini uo upuuzi apo juu ulio utaja bali vina wekwa kama picha tu na hazina maana yoyote kiibada kanisani kila mkatoliki anaamini Mungu anae ishi,Yesu ,na Roho mtakatifu ukiona picha za bikra maria ni kwamba tunatambua uwepo wake kama mzazi wa mkombozi wa ulimwengu nae ni YesuKristo kwa hiyo kanisani kwako ukiwekwa msalaba unaamini kua ndio yesu? Ule msalaba wakatoliki unawekwa kama ishara ya ukombozi ila hatuamini katika msalaba wa pambo tunamwamini yule alie fia msalabani Acha kabisa kucheza na IMANI zawatu lasivo omba Mods wa delete uzi wako unakoelekea unataka vita ya maneno.[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Bado mkuu hujasema ukweli, hivi nawezaje kutaka kumkumbuka mwalimu nyerere kwa kuweka picha ya jomo kenyata? Je nitakuwa namkumbuka jomo kenyeta au nyerere? Yesu na maria hawana picha wala sanamu, hivyo wale walichukua picha za wengine na kuziweka pale.
 
Wakatoliki wanapotosha sana ukristo. Miongoni mwa upotoshaji ni suala la utakatifu. Wanasema eti kuwa mtakatifu lazime apitie mchakato mrefu na Mara nyingi ni lazima afe kwanza. Kwa maana nyingine utakatifu ni umashuhuri.

Lakini Biblia inazungumzia utakatifu kama hali ya usafi wa kiroho anaoupata mtu baada ya kumpokea Yesu.
Biblia inaeleza kila mtu anaweza kuwa mtakatifu akiwa duniani. Soma Zaburi 16:3 Watakatifu walioko duniani ndio bora ninaopendezwa nao.

Maana yake Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani, sio wafu.

Mungu pia anahimiza watu kuwa watakatifu. 1peter 1:15. Bali kama yeye aliyewaita alovyo mtakatifu, iweni watakatifu katika mwwnwndo wenu wote.

Kwa hiyo mchakato wa kuwa mtakatifu ni kumwamini Yesu na kuokoka, sio upotoshaji unaofanywa na wakatoliki.[/QUO

Kasome upya Biblia na utafakari.Kuna tofauti kati ya kusoma na kutafakari? Kama hakuna Watakatifu Mbingunu wale Yesu aliozungumza nao wakati wingu jeusi lilipomfunika(wakati akisali Mlimani na Petro) walikuwa akina nani?
 
Sijasema hakuna watakatifu mbinguni, wapo. Lakini Mungu ana deal zaidi na waliopo duniani.
 
Bado mkuu hujasema ukweli, hivi nawezaje kutaka kumkumbuka mwalimu nyerere kwa kuweka picha ya jomo kenyata? Je nitakuwa namkumbuka jomo kenyeta au nyerere? Yesu na maria hawana picha wala sanamu, hivyo wale walichukua picha za wengine na kuziweka pale.
Nisaidie kidogo:ulipokuwa darasa la chekechea au la kwanza ulitumia vijiti kujifunza 1, 2, 3,4...Je vijiti hivyo ndo zilikuwa namba 1,2,3, 4...?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom