Wakatoliki wanapotosha sana ukristo. Miongoni mwa upotoshaji ni suala la utakatifu. Wanasema eti kuwa mtakatifu lazime apitie mchakato mrefu na Mara nyingi ni lazima afe kwanza. Kwa maana nyingine utakatifu ni umashuhuri.
Lakini Biblia inazungumzia utakatifu kama hali ya usafi wa kiroho anaoupata mtu baada ya kumpokea Yesu.
Biblia inaeleza kila mtu anaweza kuwa mtakatifu akiwa duniani. Soma Zaburi 16:3 Watakatifu walioko duniani ndio bora ninaopendezwa nao.
Maana yake Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani, sio wafu.
Mungu pia anahimiza watu kuwa watakatifu. 1peter 1:15. Bali kama yeye aliyewaita alovyo mtakatifu, iweni watakatifu katika mwwnwndo wenu wote.
Kwa hiyo mchakato wa kuwa mtakatifu ni kumwamini Yesu na kuokoka, sio upotoshaji unaofanywa na wakatoliki.