Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

Bonge la Mchemsho.... thats why Dini yenu ndio ovyo kuliko zote... na yenyewe ndio inaamua na sio maandiko thats why mnakula nguluwe na masanamu chungu nzima how come maandiko yakataze and wewe usiye na mamlaka yeyote ya maamuzi kama mnavyomtukuza mungu wenu na Master wenu Yesu... alipoishi Duniani hakuyafanya hata moja yenu... The Biblia imekataza haswa kuyatumikia masanamu na kuyachonga pia nyie ndio nguzo yenu kuu hayo yaliyokatazwa... Katolik yeyote hana uwezo wa kuambiana ukweli hukusu dini kwani ilishawekwa Sheria za kisiasa na dini za mungu jua yaani papa ndio anaamua chochote mkililia muwe mnakula kungulu basi akiamua yeye ndio inakuwa hivyo vifungu vya bible vinabadilishwa faster inakuwa halal...

Mifano yako hata mtto hawezi itumia... ati huwezi elewa bila mifano wewe ni mhindu? au Buddha? na kwanza hamna utofauti... ndio maana unamuingiza Magufuli bila sababu ila kwa Katoliki hamchelewi kumuita Mtakatifu... Waisrael walijitengenezea hayo masanamu wakatupwa na kufa kama historia inavyosema... Yaani Unaumba and then unaabudu...
Sasa wewe inakuhusu nini?? Si uachane nao!kwani wameswalia nyumbani kwako?hao nguruwe wamechinjia kwako? Izo sanamu uliwachongea wewe?ebooo,tumia akili wewe mbuzi,ukikashifu wenzio haikusaidii kitu zaidi inaonyesha jinsi gani ulivyo na infereriority.
 
Ukatoliki unaamini sanamu ya Yesu na Bikira Maria ni ngumu sana kufuata hiyo dini ya Nchi Vatican na Italy
Umekosea sana mkuu tena sana hakuna mkatoliki dunia nzima anae amini uo upuuzi apo juu ulio utaja bali vina wekwa kama picha tu na hazina maana yoyote kiibada kanisani kila mkatoliki anaamini Mungu anae ishi,Yesu ,na Roho mtakatifu ukiona picha za bikra maria ni kwamba tunatambua uwepo wake kama mzazi wa mkombozi wa ulimwengu nae ni YesuKristo kwa hiyo kanisani kwako ukiwekwa msalaba unaamini kua ndio yesu? Ule msalaba wakatoliki unawekwa kama ishara ya ukombozi ila hatuamini katika msalaba wa pambo tunamwamini yule alie fia msalabani Acha kabisa kucheza na IMANI zawatu lasivo omba Mods wa delete uzi wako unakoelekea unataka vita ya maneno.[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Sawa mkuu kwa yote uliyojibu.Mimi nakushauri tu kuwa kama wewe umekubali kuwa mdau wa jukwaa hili(Great Thinkers) basi uzidi kutafuta ukweli hata kwa mambo unayoyajua.Usiridhike na unachokijua kamwe.Ukweli ni kitu kipana sana.Kanisa Katoliki ni Nuru ya Ulimwengu.

Waumini wa kanisa Katoliki poleni kwa kuingizwa chaka na viongozi wenu wa dini kwa mafundisho ya uongo!

Kanisa Katoliki siyo nuru ya ulimwengu:

Soma Injili ya Yohana Mtakatifu Sura ya Kwanza:

1 Hapo mwanzo, alikuwako Neno. Huyo
Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye
Neno
alikuwa Mungu.
2
Tangu mwanzo huyo
Neno alikuwa pamoja na Mungu.
Neno Alifanyika Mwili
3
Vitu vyote viliumbwa kwa Yeye, wala
pasipo Yeye hakuna chochote kilichoumbwa
ambacho kimeumbwa.
4
Ndani Yake ndimo
ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya
watu.
5
Nuru hung’aa gizani nalo giza
halikuishinda.
6
Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa
Mungu, jina lake Yohana.
7
Alikuja kama shahidi
apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia yeye
watu wote waweze kuamini.
8
Yeye mwenyewe
hakuwa ile nuru, bali a
likuja kuishuhudia hiyo
nuru.
9
Nuru halisi, imwangaziayo kila mtu
ilikuwa inakuja ulimwenguni.
10
Alikuwepo ulimw
enguni na ingawa
ulimwengu uliumbwa kwa Yeye,
haukumtambua
.
11
Alikuja kwa walio Wake, lakini
wao hawakumpokea.
12
Bali wote waliompokea,
aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu,
ndio wale waliaminio Jina Lake.
13
Hawa watoto
wamezaliwa si kwa damu wala kwa mapenzi ya
mwili au kwa mapenzi ya mtu, bali kwa mapenzi
ya Mungu.
14
Neno alifanyika mwili, akakaa miongoni
mwetu, nasi takauona utukufu Wake, utukufu
kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba,
amejaa neema na kweli.
15
Yohana alishuhudia habari Zake, akapiga
kelele akisema, “Huyu ndiye yule niliyewaambia
kwamba, ‘Yeye ajaye baada yangu ni mkuu
kuliko mimi, kwa kuwa alikuwako kabla yangu.’ ’’
16
Kutokana na ukamilifu Wake, sisi sote
tumepokea neema juu ya neema.
17
Kwa kuwa
torati ilitolewa kwa mkono wa Mose, lakini
neema na kweli imekuja kupitia Yesu Kristo.
18
Hakuna mtu ye yote aliyemwona Mungu
wakati wo wote, ila ni Mungu Mwana pekee,
aliye kifuani mwa Baba ndiye ambaye
amemdhihirisha.
 
Waumini wa kanisa Katoliki poleni kwa kuingizwa chaka na viongozi wenu wa dini kwa mafundisho ya uongo!

Kanisa Katoliki siyo nuru ya ulimwengu:

Soma Injili ya Yohana Mtakatifu Sura ya Kwanza:

1 Hapo mwanzo, alikuwako Neno. Huyo
Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye
Neno
alikuwa Mungu.
2
Tangu mwanzo huyo
Neno alikuwa pamoja na Mungu.
Neno Alifanyika Mwili
3
Vitu vyote viliumbwa kwa Yeye, wala
pasipo Yeye hakuna chochote kilichoumbwa
ambacho kimeumbwa.
4
Ndani Yake ndimo
ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya
watu.
5
Nuru hung’aa gizani nalo giza
halikuishinda.
6
Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa
Mungu, jina lake Yohana.
7
Alikuja kama shahidi
apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia yeye
watu wote waweze kuamini.
8
Yeye mwenyewe
hakuwa ile nuru, bali a
likuja kuishuhudia hiyo
nuru.
9
Nuru halisi, imwangaziayo kila mtu
ilikuwa inakuja ulimwenguni.
10
Alikuwepo ulimw
enguni na ingawa
ulimwengu uliumbwa kwa Yeye,
haukumtambua
.
11
Alikuja kwa walio Wake, lakini
wao hawakumpokea.
12
Bali wote waliompokea,
aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu,
ndio wale waliaminio Jina Lake.
13
Hawa watoto
wamezaliwa si kwa damu wala kwa mapenzi ya
mwili au kwa mapenzi ya mtu, bali kwa mapenzi
ya Mungu.
14
Neno alifanyika mwili, akakaa miongoni
mwetu, nasi takauona utukufu Wake, utukufu
kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba,
amejaa neema na kweli.
15
Yohana alishuhudia habari Zake, akapiga
kelele akisema, “Huyu ndiye yule niliyewaambia
kwamba, ‘Yeye ajaye baada yangu ni mkuu
kuliko mimi, kwa kuwa alikuwako kabla yangu.’ ’’
16
Kutokana na ukamilifu Wake, sisi sote
tumepokea neema juu ya neema.
17
Kwa kuwa
torati ilitolewa kwa mkono wa Mose, lakini
neema na kweli imekuja kupitia Yesu Kristo.
18
Hakuna mtu ye yote aliyemwona Mungu
wakati wo wote, ila ni Mungu Mwana pekee,
aliye kifuani mwa Baba ndiye ambaye
amemdhihirisha.

Kwa kuwa ni msomaji mzuri wa Biblia nenda kasome na ile kauli ya huyo Nuru aliposema haya yafuatayo:
1. "Ninyi" ni chumvi ya ulimwengu.Chumvi ikiharibika hutiwa nini hadi ikolee? Haifai kilichobaki ni kutupwa huko nje na kukanywagwa na watu".

2. "...Ninyi ni nuru ya Ulimwengu.Taa ikiwashwa haiwekwi chini ya pishi(chini ya uvungu) bali huwekwa juu ya Kiango ili iangaze....."

Hao waliokuwa wanaambiwa maneno hayo ni akina nani?Je warithi wa hao walengwa hapo ni akina nani dunia kizazi hiki leo?

Kwa kuwa wewe ni msomaji mzuri kafanye utafiti ujue mchango wa Kanisa Katoliki duniani kuanzia Elimu,utamaduni,uchumi., Siasa/uongozi na nyanja zinginezo.Mchango wa Kanisa Katoliki katika kuboresha maisha ya mwanadamu ndio nuru yenyewe ninayoiongelea na ndiyo anayoiongelea Yesu Kristu(Nuru Kuu).
Yesu ni sawa na mshumaa mkubwa.Mishumaa mingine midogo huweza kuwashwa toka mshumaa mkubwa.

Yesu alimsimika Petro kuwa mshumaa wa kanisa lake pale alipomtawadha kuwa kiongozi wa kanisa lake."...wewe ndiyo Petro(mwamba) na juu ya mwamba huu nitajenga Kanisa langu..."
 
cha kufanya toa majibu na Ushauri;
suala mtu kutokuwa mkatoliki sioni kama lina mantiki hapo,
sababu inawezekana anataka kuwa mkatoliki, maana halisi ya kueneza injili ni kuwapata waliopotea, mpe maelezo akielewa ahamie.
Pole, Utakatifu sio injili ni mapokeo ya kanisa.
 
Waumini wa kanisa Katoliki poleni kwa kuingizwa chaka na viongozi wenu wa dini kwa mafundisho ya uongo!

Kanisa Katoliki siyo nuru ya ulimwengu:

Soma Injili ya Yohana Mtakatifu Sura ya Kwanza:

1 Hapo mwanzo, alikuwako Neno. Huyo
Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye
Neno
alikuwa Mungu.
2
Tangu mwanzo huyo
Neno alikuwa pamoja na Mungu.
Neno Alifanyika Mwili
3
Vitu vyote viliumbwa kwa Yeye, wala
pasipo Yeye hakuna chochote kilichoumbwa
ambacho kimeumbwa.
4
Ndani Yake ndimo
ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya
watu.
5
Nuru hung’aa gizani nalo giza
halikuishinda.
6
Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa
Mungu, jina lake Yohana.
7
Alikuja kama shahidi
apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia yeye
watu wote waweze kuamini.
8
Yeye mwenyewe
hakuwa ile nuru, bali a
likuja kuishuhudia hiyo
nuru.
9
Nuru halisi, imwangaziayo kila mtu
ilikuwa inakuja ulimwenguni.
10
Alikuwepo ulimw
enguni na ingawa
ulimwengu uliumbwa kwa Yeye,
haukumtambua
.
11
Alikuja kwa walio Wake, lakini
wao hawakumpokea.
12
Bali wote waliompokea,
aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu,
ndio wale waliaminio Jina Lake.
13
Hawa watoto
wamezaliwa si kwa damu wala kwa mapenzi ya
mwili au kwa mapenzi ya mtu, bali kwa mapenzi
ya Mungu.
14
Neno alifanyika mwili, akakaa miongoni
mwetu, nasi takauona utukufu Wake, utukufu
kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba,
amejaa neema na kweli.
15
Yohana alishuhudia habari Zake, akapiga
kelele akisema, “Huyu ndiye yule niliyewaambia
kwamba, ‘Yeye ajaye baada yangu ni mkuu
kuliko mimi, kwa kuwa alikuwako kabla yangu.’ ’’
16
Kutokana na ukamilifu Wake, sisi sote
tumepokea neema juu ya neema.
17
Kwa kuwa
torati ilitolewa kwa mkono wa Mose, lakini
neema na kweli imekuja kupitia Yesu Kristo.
18
Hakuna mtu ye yote aliyemwona Mungu
wakati wo wote, ila ni Mungu Mwana pekee,
aliye kifuani mwa Baba ndiye ambaye
amemdhihirisha.
Haisaidii hii! KKT taifa kuubwa
 
1.Je binadamu ana mamlaka ya kumtunuku utakatifu binadamu mwenzake?

2. Vigezo gani huzingatiwa mpaka mtu apewe utakatifu?
3. Utakatifu wa mwanadamu unapimwaje?

4. Endapo mtu anatunukiwa utakatifu na binadamu wenzake halafu kumbe mtu huyo ni chukizo mbele za Mungu hapa inakuaje?
Mambo ya kiimani yana utaratibu wake wa kuyaelewa,lakini hili la mtu kumpa mtu utakatifu ni moja ya chai ya moto isiyokuwa na sukari
 
Umekosea sana mkuu tena sana hakuna mkatoliki dunia nzima anae amini uo upuuzi apo juu ulio utaja bali vina wekwa kama picha tu na hazina maana yoyote kiibada kanisani kila mkatoliki anaamini Mungu anae ishi,Yesu ,na Roho mtakatifu ukiona picha za bikra maria ni kwamba tunatambua uwepo wake kama mzazi wa mkombozi wa ulimwengu nae ni YesuKristo kwa hiyo kanisani kwako ukiwekwa msalaba unaamini kua ndio yesu? Ule msalaba wakatoliki unawekwa kama ishara ya ukombozi ila hatuamini katika msalaba wa pambo tunamwamini yule alie fia msalabani Acha kabisa kucheza na IMANI zawatu lasivo omba Mods wa delete uzi wako unakoelekea unataka vita ya maneno.[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hapo kwenye red nimecheka mpaka basi... Mifano yako inachekesha sana maana hata sijawahi wazia ati Msalaba ukiwekwa ndio nidhanie kuwa ni Yesu... uwepo usiwepo ni wa kazi Gani? Maana hauleti maana yeyote kiimani wala wokovu mnaouamini... maana mmeambiwa usafi wenu kwa matendo mema na kufuata Sheria za Mungu na si za catholic ndizo zitawapeleka Mbinguni ambapo hakuna kitu kama hicho wala uthibitisho wake... Ni Upuuzi kuweka hayo Makitu sehemu za Ibada.. na huwezi sema ni Imani zaidi ya upotoshaji ambao haupo kwenye Biblia unayoiamini nadhani siri za Utawala wa Vatican huutambui lengo lao ni nini zaidi ya kupotosha ili mtu asiwe na uelewa wowote na akieleweshwa aone kama anadhihakiwa but someni Biblia zenu mfuate Sheria za Mungu wenu na sio Sheria za kanisa... Jesu hakuwa Dini hiyo utambue na hata anavyofuatwa sio kwa aliyofundisha yaaani ni total different.

Mkuu pia Tambua me huwa Sibahatishi... as per your own Bible Kitabu cha kutoka kimekataza kabisa kumake Sanamu na kuliabudu kulisujudia na kulitumikia... kwa catholic huwezi kuwa mtetezi wake kwani wao ndio wameamua kuweka masanamu na kuyasujudia hivyo huna rights zozote kukataza mtu asizungumzia la sivyo zile kengele zisingepigwa makanisani kuita watu... Wengi Sana mpo njia potofu hamuoni vizuri ila one day mkijua mtakuwa huru na minyororo mliyofungwa na hao wafanyabiashara za chuma ulete...

"Catholics worship statues!" People still make this true claim. Because Catholics have statues in their churches, goes the accusation, they are violating God’s commandment: "You shall not make for yourself a graven image or any likeness of anything that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth: you shall not bow down to them or serve them" (Ex. 20:4–5); "Alas, this people have sinned a great sin; they have made for themselves gods of gold" (Ex. 32:31).
9a56b227-65ba-4426-99dd-bd83c503fbe1.jpg
p6.jpg
mary-idolatry-pray-to-mary-statue.jpg
processionmary1024.jpg
altar.png
Pope-Easter3.jpg
idol_024.png
 
Awe na roho mbaya, awe na uwezo mkubwa wa kulipa visasi na mengineyo yahusuyo utakatifu hasa kwa nchi za Kiafrika kama vile Malawi.
Natanguliza samahani kwa maoni yangu mabovu japo nimechangia.
 
Sasa wewe inakuhusu nini?? Si uachane nao!kwani wameswalia nyumbani kwako?hao nguruwe wamechinjia kwako? Izo sanamu uliwachongea wewe?ebooo,tumia akili wewe mbuzi,ukikashifu wenzio haikusaidii kitu zaidi inaonyesha jinsi gani ulivyo na infereriority.
Nadhani wewe ndio utumie Akili Nguluwe kwanza huwa Hachinjwi analiwa Kibudu anauliwa tu... kwanza sidhani kama ana shingo nitamchunguza nitambue... Kama Dini zingekuwa zinauzwa basi ningesema hainihusu lakini zipo Free hata Yesu yasemekana alikuja kuwakomboeni for same reason kama yangu so nikikuokoa na hii mikitu mimi ni mkombozi pia...
Unaposema wanaswalia Kwangu naweza sema yah because ni neighborhood wangu... pia elewa kuna kukashifu na kuelezana ukweli so ukweli sio kashfa... ukweli ni upenzi wa Mungu ---In Sukuma's voice... Hivi wewe ukiona kipofu anaelekea usawa wa shimo utamuacha atumbukie? au na wewe hutaki kuitwa Mwokozi kama Yesu?
 
Unajua kaka kunatofauti kati ya kusoma hoja na kujibu na kuelewa hoja.Mimi sijasema najibu swali lako.Mimi nimesema nitajibu upande wa Pili.Ulitakiwa kwanza ujue upande wa pili ni upi nilioukusudia.
I trust my intuition, pole!
 
Kumtangaza mtu kuwa mtakatifu ni mchakato unaotumia rasilimali nyingi ndio maana Africa wenye vigezo vya kuwa watafatifu ni wengi lakini hawatangazwi kwa kukosa rasilimali za kufanya utafiti. Kwa sasa tunao Mashahidi wa Uganda.
Wako wengi, Josephine bakita nk.
 
Nadhani mlaleo umekula mavi ya nguruwe au mbwa!nadhani pia ubongo wako una funza
Tunatofautiana mimi na wewe kitu kimoja wewe Hujui kitu na mimi nafahamu yote ya Ndani ya dini zenu... mkikosea nawapa makavu so kutukanwa hata Mitume yenu ilitukanwa sana hadi kupigwa na kuuliwa mfano mzuri ni Yesu... ambaye mnamlilia kila siku huku hamuwezi kufuata aliyowafundisha mmekuja na yenu... yaanivituko tupu.. kama Bilia ni katiba ifuateni msiivunje... poleni sana minyororo ya ufahamu imewatight hamuwezi hata Kupumua... Unaamini Mungu Yupo,Unaamini anakupenda,Unaamini Ana Hasira,Unaamini Ana Wivu,Unaamini atakuchukua ukitenda anayotaka yeye,Unaamini Binadamu aliwalaani mfe,Unaamini usimtukane Jirani yako na Umsamehe saba mara sabini,Unaamini ukishanitukana atakusamehe pale utakaponiomba msamaha mimi kisha yeye,Unaamini ukila Nguluwe anafurahia unaposhiba kiti moto, unaamini unavyoishi na kutukana watu amepanga yeye. Pia Unaamini utaenda kuishi naye!!!!!!! Si utamtukana wewe.... Jinuse kwapa kwanza na hiyo harufu uone kama atakupokea... Bazazi we
 
Hakuna mkristo anaejielewa au mcha Mungu yeyote anaweza kutumia lugha uliyotumia hapa.
Am free kuelewesha yeyote mwenye kutatizwa maana wengi wapo kwenye Minyororo mizito i can make them free again....
 
Wakatoliki kwenye hii thread mmejitahidi kutetea imani yetu. Kuna watu wanaitwa "catholic apologetics", watu kama hao wanahitajika sana hapa Tanzania pia. Nawasihi mliojitahidi kujibu hoja hizi muangalie uwezekano wa kuwa "watetezi wa imani" (catholic apologetics). Mtasaidia wengi sana na kutetea/kueneza imani yake Kristu ya kweli.
 
Haisaidii hii! KKT taifa kuubwa
Nitakukubalia "if and only if Kanisa Katoliki" is bigger than the Word of God! But I quoted the God's Word as narrated in the Gospel of John. God's Word = God, there is no way Kanisa Katoliki formed by men to become greater than God. If Kanisa Katoliki is greater than God's Word then Papa is god!
Poleni sana!
 
Back
Top Bottom