Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

Vigezo gani hutumika kumuita mtu Mtakatifu?

Bonge la Mchemsho.... thats why Dini yenu ndio ovyo kuliko zote... na yenyewe ndio inaamua na sio maandiko thats why mnakula nguluwe na masanamu chungu nzima how come maandiko yakataze and wewe usiye na mamlaka yeyote ya maamuzi kama mnavyomtukuza mungu wenu na Master wenu Yesu... alipoishi Duniani hakuyafanya hata moja yenu... The Biblia imekataza haswa kuyatumikia masanamu na kuyachonga pia nyie ndio nguzo yenu kuu hayo yaliyokatazwa... Katolik yeyote hana uwezo wa kuambiana ukweli hukusu dini kwani ilishawekwa Sheria za kisiasa na dini za mungu jua yaani papa ndio anaamua chochote mkililia muwe mnakula kungulu basi akiamua yeye ndio inakuwa hivyo vifungu vya bible vinabadilishwa faster inakuwa halal...

Mifano yako hata mtto hawezi itumia... ati huwezi elewa bila mifano wewe ni mhindu? au Buddha? na kwanza hamna utofauti... ndio maana unamuingiza Magufuli bila sababu ila kwa Katoliki hamchelewi kumuita Mtakatifu... Waisrael walijitengenezea hayo masanamu wakatupwa na kufa kama historia inavyosema... Yaani Unaumba and then unaabudu...
duh..sijui ww ndo umeandika nn isee..sijakusoma..
 
Sawa mkuu kwa yote uliyojibu.Mimi nakushauri tu kuwa kama wewe umekubali kuwa mdau wa jukwaa hili(Great Thinkers) basi uzidi kutafuta ukweli hata kwa mambo unayoyajua.Usiridhike na unachokijua kamwe.Ukweli ni kitu kipana sana.Kanisa Katoliki ni Nuru ya Ulimwengu.
kanisa Katoliki ni giza la Ulimwengu huu, siyo nuru. Imepeleka mamilioni ya roho kuzimuni na inaendelea kupeleka. Soma maandiko then linganisha yanayofanyika kama yanaendana na maandiko. Wewe endelea kluiabudu sanamu kila Ijumaa Kuu halafu jifariji kuwa huiabudu.
 
Back
Top Bottom