Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,484
- 29,964
Hebu muwe mnajifunza kukaa kimya wakati mwingine...Ukatoliki unaamini sanamu ya Yesu na Bikira Maria ni ngumu sana kufuata hiyo dini ya Nchi Vatican na Italy
Hebu muwe mnajifunza kukaa kimya wakati mwingine...Ukatoliki unaamini sanamu ya Yesu na Bikira Maria ni ngumu sana kufuata hiyo dini ya Nchi Vatican na Italy
No Catholicism no Christianity...Bonge la Mchemsho.... thats why Dini yenu ndio ovyo kuliko zote... na yenyewe ndio inaamua na sio maandiko thats why mnakula nguluwe na masanamu chungu nzima how come maandiko yakataze and wewe usiye na mamlaka yeyote ya maamuzi kama mnavyomtukuza mungu wenu na Master wenu Yesu... alipoishi Duniani hakuyafanya hata moja yenu... The Biblia imekataza haswa kuyatumikia masanamu na kuyachonga pia nyie ndio nguzo yenu kuu hayo yaliyokatazwa... Katolik yeyote hana uwezo wa kuambiana ukweli hukusu dini kwani ilishawekwa Sheria za kisiasa na dini za mungu jua yaani papa ndio anaamua chochote mkililia muwe mnakula kungulu basi akiamua yeye ndio inakuwa hivyo vifungu vya bible vinabadilishwa faster inakuwa halal...
Mifano yako hata mtto hawezi itumia... ati huwezi elewa bila mifano wewe ni mhindu? au Buddha? na kwanza hamna utofauti... ndio maana unamuingiza Magufuli bila sababu ila kwa Katoliki hamchelewi kumuita Mtakatifu... Waisrael walijitengenezea hayo masanamu wakatupwa na kufa kama historia inavyosema... Yaani Unaumba and then unaabudu...
Ahsante..Kwa kuwa ni msomaji mzuri wa Biblia nenda kasome na ile kauli ya huyo Nuru aliposema haya yafuatayo:
1. "Ninyi" ni chumvi ya ulimwengu.Chumvi ikiharibika hutiwa nini hadi ikolee? Haifai kilichobaki ni kutupwa huko nje na kukanywagwa na watu".
2. "...Ninyi ni nuru ya Ulimwengu.Taa ikiwashwa haiwekwi chini ya pishi(chini ya uvungu) bali huwekwa juu ya Kiango ili iangaze....."
Hao waliokuwa wanaambiwa maneno hayo ni akina nani?Je warithi wa hao walengwa hapo ni akina nani dunia kizazi hiki leo?
Kwa kuwa wewe ni msomaji mzuri kafanye utafiti ujue mchango wa Kanisa Katoliki duniani kuanzia Elimu,utamaduni,uchumi., Siasa/uongozi na nyanja zinginezo.Mchango wa Kanisa Katoliki katika kuboresha maisha ya mwanadamu ndio nuru yenyewe ninayoiongelea na ndiyo anayoiongelea Yesu Kristu(Nuru Kuu).
Yesu ni sawa na mshumaa mkubwa.Mishumaa mingine midogo huweza kuwashwa toka mshumaa mkubwa.
Yesu alimsimika Petro kuwa mshumaa wa kanisa lake pale alipomtawadha kuwa kiongozi wa kanisa lake."...wewe ndiyo Petro(mwamba) na juu ya mwamba huu nitajenga Kanisa langu..."
Perish to hell!No Catholicism no Christianity...
"Hakuna Ukatoliki hakuna Ukristo"
Ohhh...Kumbe kwa Imani yako isiyo ya Kikristo..Hakuna mtakatifu aliye Duniani
Kwa Imani yangu lakini.
Yani ndo hivyo.....No Catholicism no Christianity...hii penda usipende...Perish to hell!
Ukristo upo kwa sababu ya Kristo aliyetufia msalabani!
Hivi umeelewaje sentensi hiiWakatoliki wanapotosha sana ukristo. Miongoni mwa upotoshaji ni suala la utakatifu. Wanasema eti kuwa mtakatifu lazime apitie mchakato mrefu na Mara nyingi ni lazima afe kwanza. Kwa maana nyingine utakatifu ni umashuhuri.
Lakini Biblia inazungumzia utakatifu kama hali ya usafi wa kiroho anaoupata mtu baada ya kumpokea Yesu.
Biblia inaeleza kila mtu anaweza kuwa mtakatifu akiwa duniani. Soma Zaburi 16:3 Watakatifu walioko duniani ndio bora ninaopendezwa nao.
Maana yake Mungu anapendezwa na watakatifu walioko duniani, sio wafu.
Mungu pia anahimiza watu kuwa watakatifu. 1peter 1:15. Bali kama yeye aliyewaita alovyo mtakatifu, iweni watakatifu katika mwwnwndo wenu wote.
Kwa hiyo mchakato wa kuwa mtakatifu ni kumwamini Yesu na kuokoka, sio upotoshaji unaofanywa na wakatoliki.
Biblia yenyewe hiyo ni ubunifu wa Kanisa Katoliki...Daah..Huo ndio upotoshaji ninaousema. Biblia inazungumzia utakatifu katika imani sio sayansi. Utakatifu unapatikana hapahapa duniani kwa kumwamini Yesu. Mtu akishakufa kinachofuata ni hukumu (Soma Waebrania 9:27). Ama mtu aingie peponi kama alikuwa mtakatifu au aende kusubiri adhabu ya moto. Hata mkimjadili mtu huyo kwa kiasi gani, hakuna impact. Mnapoteza muda, Mungu ameshavuna mtu wake.
Naomba ujibu kwa maandiko ya Biblia, sio porojo zako. Biblia ndio mwongozo wa ukristo.
Hivi umemulewa Bw Sanctus alichoandika...Maana naona unashambulia Ukatoliki....Vipi umekunywa viroba nini..Wakatoliki mnaamini zaidi katika akili na kazi za mwili (elimu, siasa, uchumi, nk.) kuliko nguvu za kiroho za kumshinda shetani na kazi zake! Mission kuu ya Yesu kuja duniani ilikuwa ni kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa dhambi (Mathayo 1:21) ili wawe na mamlaka na nguvu za kiroho za kumshinda shetani na kazi zake (Luka 10:19-20) na siyo kuwarudishia waisraeli ufalme walionyang'anywa na Warumi (wakati huo walikuwa chini ya utawala wa Kirumi). Ndiyo maana baada ya Yesu kuwapa wanafunzi wake mawaidha ya mwisho (kabla ya kupaa) ndipo wakamwuliza, Je, Bwana, wakati huo ndipo utakapowarudishia Israeli ufalme (mamlaka ya utawala, uchumi, siasa, elimu, nk)? (Matendo ya Mitume 1:6 (soma kuanzia mstari wa kwanza)).
Mungu ambaye ni Roho, ili aweze kukaa katikati ya wanadamu ili kutimiza mission aliyokuwa nayo kwa wanadamu ilikuwa ni lazima avae mwili wa kibinadamu kwa sababu hakuna mwanadamu ambaye amevaa mwili wa damu na nyama anayeweza kumwona Mungu kama alivyo akaishi (Kutoka 33:20).
Maandiko yanasisitiza, Ufalme wa Yesu haukuwa wa ulimwengu huu (Jesus' own confession)! Injili ya Yohana 18:36-38
Mwili wa Yesu akiwa duniani haukuwa mwili wa kimbingu (kiroho) ndiyo maana alichoka, aliona njaa, kiu, alihisi maumivu, nk! Kilichotokea akiwa kaburini hadi mwili ule usione uharibifu (kuoza), hakuna mwanadamu ajuaye (ni fumbo la kiroho). Labda kama unajua tueleze kwa kuonesha ushahidi wa maandiko kutoka kwenye Biblia.
mathayo 23:9 9 Wala msimwite mtu yeyote Baba hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu aliye mbinguni.
Uromani ni kitu gani..?ina maanisha utakatifu na uromani vina undugu?
Yesu, Roho Mtakatifu ni Mungu...Vipi Mungu ana kazi ya kumuombea mtu..???Kwa mujibu wa Biblia, waombezi wa mwanadamu huko mbinguni ni Roho Mtakatifu na Yesu Kristo tu, kutegemea akina mt. Petro, Bikira Maria, Theresa, Yohana Paulo wa II, nk. ambao ni wafu wakuombee ni upagani!
Mkuu ulitoroka shule nini..?Wewe jamaa haujui maandiko kabisa! Yesu kuchomwa mkuki haikuwa kwa ajili ya kuthibitisha kama amekwisha kufariki. Au kama unao ushahidi wa maandiko leta hapa tuone!
Mimi ushahidi wangu ni huu hapa: Injili ya Yohana 19:31-34
Yesu Achomwa Mkuki Ubavuni
31
Kwa kuwa ilikuwa siku ya Maandalio ya
Pasaka, Wayahudi hawakutaka miili ibaki
msalabani siku ya Sabato, hasa kwa kuwa hiyo
Sabato ingekuwa Sikukuu. Wakamwomba Pilato
aamuru miguu ya wale wa
liosulibiwa ivunjwe ili
wafe haraka miili iondolewe kwenye misalaba.
32
Kwa hiyo maaskari wakaenda wakavunja
miguu ya mtu wa kwanza
aliyesulibiwa pamoja
na Yesu na yule mwingine pia.
33
Lakini
walipomkaribia Yesu, wakaona ya kuwa
amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu
Yake.
34
Badala yake mmoja wa wale maaskari
akamchoma mkuki ubavuni na mara pakatoka
damu na maji.
We nenda kafuge majini hapa hapakufai..Mtakatifu ni mtu asiye na dhambi , hio ya RC kupeana utakatifu ni magumashi tu ya watu, maana RC ni dini iliyobuniwa na watu.
Mfano mama tereza kesho unamkuta motoni afu huku duniani kapewa utakatifu, ina maan binadamu leo wamempa leseni ya kuishi peponi/mbinguni.
Ukristo unakasoro ambazo akili ya binaadamu inagoma.
Hapa duniani hakuna mtu Mtakatifu asikudanganye mtu.
Na walivyo wajanja wanasubiri mtu kafa ndo anapewa utakatifu.
Wampe bas mtu alie hai
Mfano yesu au nabii Issa aliitwa kiumbe kitakatifu kwenye Quraaan bado ikiwa tumboni.
Mtakatifu ni mtu asiye na dhambi , hio ya RC kupeana utakatifu ni magumashi tu ya watu, maana RC ni dini iliyobuniwa na watu.
Mfano mama tereza kesho unamkuta motoni afu huku duniani kapewa utakatifu, ina maan binadamu leo wamempa leseni ya kuishi peponi/mbinguni.
Ukristo unakasoro ambazo akili ya binaadamu inagoma.
Hapa duniani hakuna mtu Mtakatifu asikudanganye mtu.
Na walivyo wajanja wanasubiri mtu kafa ndo anapewa utakatifu.
Wampe bas mtu alie hai
Mfano yesu au nabii Issa aliitwa kiumbe kitakatifu kwenye Quraaan bado ikiwa tumboni.
Bonge la Mchemsho.... thats why Dini yenu ndio ovyo kuliko zote... na yenyewe ndio inaamua na sio maandiko thats why mnakula nguluwe na masanamu chungu nzima how come maandiko yakataze and wewe usiye na mamlaka yeyote ya maamuzi kama mnavyomtukuza mungu wenu na Master wenu Yesu... alipoishi Duniani hakuyafanya hata moja yenu... The Biblia imekataza haswa kuyatumikia masanamu na kuyachonga pia nyie ndio nguzo yenu kuu hayo yaliyokatazwa... Katolik yeyote hana uwezo wa kuambiana ukweli hukusu dini kwani ilishawekwa Sheria za kisiasa na dini za mungu jua yaani papa ndio anaamua chochote mkililia muwe mnakula kungulu basi akiamua yeye ndio inakuwa hivyo vifungu vya bible vinabadilishwa faster inakuwa halal...
Mifano yako hata mtto hawezi itumia... ati huwezi elewa bila mifano wewe ni mhindu? au Buddha? na kwanza hamna utofauti... ndio maana unamuingiza Magufuli bila sababu ila kwa Katoliki hamchelewi kumuita Mtakatifu... Waisrael walijitengenezea hayo masanamu wakatupwa na kufa kama historia inavyosema... Yaani Unaumba and then unaabudu...
Huyo ni mfuga majini..Bila shaka wwe ni Msabato
aaha sawa. ndio maana Magufuli ameamua kuwakanyagia chiniHuyo ni mfuga majini..