Vifurushi vya Vodacom vyarejea

Vifurushi vya Vodacom vyarejea

Ni kweli hata hivyo tumeshasepa,......
Screenshot_20210415-220645.jpg
 
Hii ya kwako inaupendeleo sana. Na mbaya zaidi kadri unavyinunua ndiyo wanavyokupa ofa mbaya zaidi. Ila hilo bado kutoa.
 
mnaoendelea kutumia mtandao wa vodacom hadi leo bila shaka ndio mashabiki wa kiba nyie yaani asili yenu ni ubishi na kukumbatia utopolo
 
mnaoendelea kutumia mtandao wa vodacom hadi leo bila shaka ndio mashabiki wa kiba nyie yaani asili yenu ni ubishi na kukumbatia utopolo
Aaisee huu mtandao una kas Sana yaani Ni mtelezo hatari wewe fikiri 2000 unapata gb 3.5 kwa saa 24 aisee
 
dawa ni kuacha kutumia laini zao tu
Mimi niliacha kwa muda sana kuwatumiaa Kama week tatu hivi bilakuweka bandle Wala salio nikabaki zangu airtel basi leo nakaa zangu jioni nikaona nitembelee nione kama Kuna mabadiliko ndio nikakutana na mabadiliko hayo
 
Nina laini tatu za Vodacom lakini hakuna hata moja iliyorudi kwenye ya kawaida.
 
Back
Top Bottom