Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 681
- 773
Menu ya kupata hiko kifurushi ni ipi?
Menu ya kupata hiko kifurushi ni ipi?
Yaani ni mateso tuSikuhizi line za Tigo vifurushi vinaanzia tsh elfu tatu kama hapo chini.
Wakati kipindi cha nyuma line ya chuo vifurushi vilikua vinaanzia 1500 kwa wikiView attachment 1425334
*149*15# chagua internet then sikuMenu ya kupata hiko kifurushi ni ipi?
Kudadeki
sio kweli mm nashushaga adi vitu vya gb 100View attachment 1438902
Sent from my iPhone using JamiiForums
halotel ukiwa na 4g kuna ofa balaa yaani ukinunua kifulushi cha buku 5 unapata gb 7 wiki, na kuna ka ofa mbele yake ya gb 1 na dk 100 [mitandao yooote] mwezi mzima.
Download file manager zenye built in browser kama Documents by readlle, search store hilo neno documents na jina la developer litakuwa hilo readlle.Ivi mkuu ukiwa na iphone unaweza download muvi?,kama inawezekana kutumia apps gani
Sent using Jamii Forums mobile app
kudownload hapana na stream tuIvi mkuu ukiwa na iphone unaweza download muvi?,kama inawezekana kutumia apps gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi kipya huko
Vipi kuhusu ile limit yao ya kukupangia et kwa kutwa utumie mb 500 kama mtoto imeisha?halotel ukiwa na 4g kuna ofa balaa yaani ukinunua kifulushi cha buku 5 unapata gb 7 wiki, na kuna ka ofa mbele yake ya gb 1 na dk 100 [mitandao yooote] mwezi mzima.
naona bado ipoVipi kuhusu ile limit yao ya kukupangia et kwa kutwa utumie mb 500 kama mtoto imeisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora utumie Halotel tsh 1500 unapata unlimited internet kwa kasi kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazpataje hzo ofa Mkuu tuelekezane
Hawa jamaa ndio cheapest SP kwa sasa.
Hizo bando zikoje bro?Wakuu Habari
Kwa wale walio nichekig bundo za Halotel plz kama namba yangu bado unayo nitafute
Sorry kwa usumbufu ulio jitokeza nyuma
0625*****5
Kuna kifurushi kinaitwa double bundle 4gb kwa 2500 ndani ya 24hrs