Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Huwezi mkuu. Modem za 4g bei rahisi siku hizi nafkiri 25,000 zantel wanauza, na unaweza kuitoa lock ukatumia mitandao mingine.
....Nilinunua 2014 kwa 60...kama ni 25 tu nitaifata hata kesho...... thanks.....
......
Hivi hii unlimited bando ya 1500 6to12 y halotel.....ni unlimited kweli???.
 
....Nilinunua 2014 kwa 60...kama ni 25 tu nitaifata hata kesho...... thanks.....
......
Hivi hii unlimited bando ya 1500 6to12 y halotel.....ni unlimited kweli???.
Niliwahi sikia wadau wakisema imesitishwa, ila ilikuwa ni unlimited kweli. Na modem ya zantel inakubali mitandao yote kasoro Halotel.

Wanaotumia halotel usiku watatu update.
 
Niliwahi sikia wadau wakisema imesitishwa, ila ilikuwa ni unlimited kweli. Na modem ya zantel inakubali mitandao yote kasoro Halotel.

Wanaotumia halotel usiku watatu update.

Kifurushi kipo, walicho ondoa ni kile cha buku unlimited.

Maana ilikuwa 1000 unlimited halafu 1500 10Gb.
IMG_20200125_223810.jpg
 
Tigo jana walidai wanafanya marekebisho ya huduma nikajua labda makelele ya wateja yamewafikia kumbe hola!😄
 
Back
Top Bottom