Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,654
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,654 2,000
Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia

Tigo
Kwa Tigo bonyeza *147*00# kisha chagua size yako, unaweza kupata vifurushi vizuri, Ila njia hii sio reliable kwani vifurushi hivyo hubadilika kila Mara.


Vodacom

Vodacom angalia kwenye ya kwako tu, piga *149*03# kuangalia ofa.

Airtel
[
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#

-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.

-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)

TTCL
-bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini.

-Toboa Night navyo ni vifurushi vizuri vya usiku in case Halotel kwako inasumbua ama Haina speed, kwa 500 unapata GB 2 na 1000 unapata GB 10.

Vyote toboa na bandika bandua unajiunga kwa kubonyeza *148*30# kisha TTCL bundles.

-Ofa maalum, pia TTCL Wana ofa mbalimbali Kama vile za sabasaba, nanenane etc ambazo wanazieka kwenye option ya vifurushi maalum,


Remote[/B][/B][/B]
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,662
Points
2,000
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,662 2,000
Kila nikigoogle sipati Hata source moja inayosema wamezindua, type feedback mkuu isijekuwa ni janja janja ya watu wakasajili line tu.
Nimepita leo nimekuta foleni kubwa sana nimeona shida kusubiri na ilikuwa mida ila bado mnanidai feedback lazima niilete humu.
 
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Messages
4,321
Points
2,000
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined May 18, 2015
4,321 2,000
Hawa Halotel nao sijui wanaanza kukwama wapi,kutuwekea dakika kwenye usiku pack ndiyo nini...Na hicho kifurushi cha buku sijui wanatoa Mb kiasi gani maana wamesema tu internet bure usije kuwa ukishafikisha gb1 unaambiwa Mb zako zimeisha
 

Attachments:

Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
6,879
Points
2,000
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined Sep 13, 2014
6,879 2,000
Halotel hiyo. Hii ni University ya zamani kwa Sasa kununua ni Kati ya 10,000-15,000 laini tu.
Ila ukiipata bata tu.
screenshot_20190722-180853-2-jpeg.1159704
screenshot_20190721-082505-2-jpeg.1159705
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
20,654
Points
2,000
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
20,654 2,000
Hawa Halotel nao sijui wanaanza kukwama wapi,kutuwekea dakika kwenye usiku pack ndiyo nini...Na hicho kifurushi cha buku sijui wanatoa Mb kiasi gani maana wamesema tu internet bure usije kuwa ukishafikisha gb1 unaambiwa Mb zako zimeisha
Unlimited internet, Game kubwa Kama FIFA 19 lenye GB Kama 40 huwa nalidownload usiku mmoja tu na Hicho kifurushi.
 
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2015
Messages
4,321
Points
2,000
Ochumeraa

Ochumeraa

JF-Expert Member
Joined May 18, 2015
4,321 2,000
Unlimited internet, Game kubwa Kama FIFA 19 lenye GB Kama 40 huwa nalidownload usiku mmoja tu na Hicho kifurushi.
Ngoja Leo nijiunge kama NI kweli,maana kuna unlimited nyingine ukifikisha kiss Fulani wanaanza kusema kifurushi kimeisha...Naona wamerekebisha maana mwanzo si walikuwa wanatoa gb10 kwa bukujero asahiv ndo wabafanya hivyo
 
king_azy

king_azy

Member
Joined
Sep 14, 2014
Messages
83
Points
125
king_azy

king_azy

Member
Joined Sep 14, 2014
83 125
Mimi niliwapigia simu ila chakushangaza hata huyo customer care alikuwa hajui chochote akanambia nisubiri aulizie, mwisho wananiambia bado hawajaanza kutoa hizo laini sasa nashangaa wanatuma sms kila siku
Nimepita leo nimekuta foleni kubwa sana nimeona shida kusubiri na ilikuwa mida ila bado mnanidai feedback lazima niilete humu.
 

Forum statistics

Threads 1,325,705
Members 509,265
Posts 32,200,113
Top