Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Zipo Router ambazo zinakuwa na tatizo binafsi ambalo halihusishi mtandao

Router ya rafiki yangu ilikuwa na tatizo hilo tulichofanya ni kuwasiliana na team leader aliyetuletea.

Akatuachia Router nyingine wakati ile yenye tatizo akienda nayo ofisini kwa ajili ya kuifanyia diagnosis.

Baada ya siku kadhaa alituletea ikiwa iko fresh tukamrudishia ile Router yake.

So nakushauri utumie njia hiyo pia
Naunga mkono hoja
 
1706988158831.png

Nilichukua huu mzigo wa 10Mbps uko poa sana nilikuwa nahofia huku mbezi ndani ndani itazingua , 5G haitopanda ndio lakini sidhani kama utahitaji 5G kwa 10 Mbps sababu hii 4G+ muda wote speed inakwamia 12Mbps na mimi huwa muda wote na stream up to 1440p bila shida

Mfano wa streams nazotumia
Dstv stream - ipo fresh
Azam max - Ipo fresh
Netflix - fresh kabisa
Amazon prime - Fresh
Tubi - Fresh
Kodi fresh

Na streaming services nyingine kama Plex , Pluto tv , crackle , Xumo play etc

Nia ilikuwa kuachana na Ma dish kwa sasa kukomaa online tu
 
View attachment 2893292

Mkuu hizo app unatumia kwenye smart tv au android smart tv?
Ukiachana na zile built in app za kwenye LG smart tv, nawezaje kutumia app zenye mpira kwenye LG ambayo sio android.
 
Adroid Tv Box ipi ni nzuri mkuu natumia Hisence Smart tv.
Za Bei rahisi Onn tv, fire tv stick, Google TV chromecast na Xiaomi mi TV stick. Zote hizi unapata laki ama chini ya hapo.

Kama budget inaruhusu zaidi ya hapo Kuna fire tv cube, Mi box S, Nvidia shield etc

Hizo stick nzuri sana kama huna matumizi mengi, weka Nyuma ya TV na usb ndogo Unachomeka kwenye stick na tv, weka on HDMI CEC kwenye box na tv umemaliza kila kitu. Ukiwa Sha TV na box linawaka na remote ya TV hio hio ita control tv box.
 
Asante sana Chief, ngoja nizitafute zinakopatikana.
Kama kuna mtu anaziuza au anafahamu zinapopatikana tafadhali tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom