Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kama Kuna simu ya 5G test, si kweli kwamba 5G coverage ipo dar nzima, 5G unaweza kua km 1 toka mnara na usiipate, ipo sensitive sana na vikwazo kama miti, milima, Majengo marefu etc.
Simu nna 4G tu ambayo inajitahidi kidogo , nahofia kununa na device yao halafu iwe miyayusho
Natumiaga ile ya 30+ GB sa SME hainaga shida ila muda mwingine tu inaweza kuwa slow
 
Wale wa Airtel 5G Speed ipoje? 10Mbps inakuwa fresh? nipo mitaa ya mbezi luguruni airtel wanasema 5G inapatika kote Dar sasa hivi kwahyo huko hakuna shida, maana natka kuchukua hii au Voda sema voda gharama juu kidogo
Inakamata fresha kabisa, nipo maeneo hayo pia....

Cha msingi taa ya kijani ikishawaka tuu basiiii...
 
Hakika Voda ni next level, hii speed sio ya mchezo
Image 30-11-2023 at 07.14.jpeg
 
Upo kwembe king'azi?
Unataka ujue mpaka mtaa mkuu😀😀

Wewe jua kibamba nzima airtel mtandao uko vzr 90% ukitumia router zao..... Hizo 10% za downside ni factors ambazo ziko nje ya uwezo wao kama hali ya hewa, kama unaishi mabondeni sana nk..

Ila generaly mtandao uko vzr..

Speed test zangu zote huwa zinagota 10Mbps kwa kifurushi hiki cha 70k.

Screenshot_2024-01-10-14-37-19-827_org.zwanoo.android.speedtest-edit.jpg
 
Unataka ujue mpaka mtaa mkuu😀😀

Wewe jua kibamba nzima airtel mtandao uko vzr 90% ukitumia router zao..... Hizo 10% za downside ni factors ambazo ziko nje ya uwezo wao kama hali ya hewa, kama unaishi mabondeni sana nk..

Ila generaly mtandao uko vzr..

Speed test zangu zote huwa zinagota 10Mbps kwa kifurushi hiki cha 70k.

View attachment 2867410
Na pia kwa speed hii ku stream online si fresh?
 
Back
Top Bottom