Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,716
- 39,805
- Thread starter
- #381
unaungaje?Edit hapo Airtel Wana Night Pack (Amsha Popo) kwa Tsh. 1,500 unapata 10GB.
unaungaje?Edit hapo Airtel Wana Night Pack (Amsha Popo) kwa Tsh. 1,500 unapata 10GB.
Na ukishajisajili kwa kitambulisho cha chuo, unaweza kujiunga na vifurushi vya chuo popopte?, au mpaka maeneo ya chuo tu basi?Mpaka usajiliwe kwa kitambulisho cha chuo
Zile 100MB hamna kitu pale ni Bashite(0).Kweli mkuu Mimi imenitokea Jana nilikua nimetumia MB 500 Bahati nzuri Simu yangu huwa inanirekodia Matumizi cha ajabu zile MB 100 hata sikuzitumia
Dial : *149*99#unaungaje?
Vipi line ya kawaida ya Airtel haiwezi kusajiliwa kuwa ya chuo?View attachment 497747View attachment 497748View attachment 497749hiv ni vifurushi vya airtel natumia line ya chuo
vipi mpaka uwe na laini ya chuo??Nimeona...naona walikua wanatutest...so far hawa jamaa natumiaga dak zao tu...nipo natumia uni ya voda iko poa sana
Nielekeze mkuu jinsi ya kurekodi matumiziKweli mkuu Mimi imenitokea Jana nilikua nimetumia MB 500 Bahati nzuri Simu yangu huwa inanirekodia Matumizi cha ajabu zile MB 100 hata sikuzitumia
Vifurushi vya Voda vya chuo vinagoma .
nimekupm mkuuKama unaitaji virushi vya chuo vya voda nipm utavipata kwa laini yako hiyo hiyo
ukiona hivyo basi laini yako sio ya chuoVifurushi vya Voda vya chuo vinagoma
Jamani mbona voda yangu inasumbua mtandao nikiwasha data sina ninalolifanya!voda ndo hapo huwa naikubali 3gb siku 5 na kwa speed nzuri ajabu.
Unaishi mkoa gani.Jamani mbona voda yangu inasumbua mtandao nikiwasha data sina ninalolifanya!