Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Huyu jamaa apo mwisho mbona kama kaharibu kwa kuthibitisha kuwa kweli amekwenda kinyume cha mkataba, kwa kuwa ukisoma kwenye Sheria na Masharti aliyoyakubali ni kwamba huruhusiwi kuhama eneo na hiyo Router bila taarifa wala kutumia hiyo Router kwenye eneo lisilo na 5g, na ikiwa utatumia Airtel inaweza kusitisha huduma.

View attachment 2945563

Au mimi Kiingereza sijui kusoma kwa kiwango cha wanasheria wake?

Huwezi kwenda Mahakamani na kusema matangazo yao yalisema hivi wakati unaambiwa usome kwa makini mkataba na usipende kusikiliza marketing au sales department; hawa watu wataongea chochote ili ununue bidhaa zao na maneo yao si "legally binding" hayana mashiko kisheria.

Anyway kila la kheri kwake. Mimi hii Router nilighairi kuichukua kwa kuwa ninajua figisu za Airtel Tanzania.
Terms and condition hua hatusomagi, ngoja tuone atafika wapi, ila huyu mzee wa spana kwa hili hatoboi
 
Speed ni fixed 10 ama 30 etc inategemea na watumiaji, kama ni 10mbps usitegemee watu wengi kutumia pamoja, maximum kama wa 5 hivi kwa mkupuo na kupata speed nzuri.
Kama bado mnampango wa kuendelea kutumia Airtel 5g Sina ushauli ila taarifa nilizopata Airtel Wana limit data na sio unlimited router yangu nimelipia mara mbili

nikidownload file kubwa kama mbili tu za gb 45 mtandao unashuka kifurushi kikikaribia kuisha wanapandisha speed after that inashuka Tena nimeenda mpk makao makuu Yao Morocco hakuna msaada wowote zaidi Wanachukua number za router wanasema watafanyia kazi

na nilichokuja kugundua kwa wateja wote wa mwanzo hii changamoto wanapitia ila waliosajiri Ivi soon wote hawapitii hii changamoto kama wanawavuta maji mengi
Wanaumusha sanaa
 
Waliposhusha speed ulikua unatumia 4G ama 5G? Kama ni 4G ulijaribu kwenda eneo lenye 5G speed ikawa ndogo bado?
 
Hii changamoto kwangu sijawahi kukutana nayo.

Kama ndio wanafanya hivi basi watakuwa wanazungua sana
 
Waliposhusha speed ulikua unatumia 4G ama 5G? Kama ni 4G ulijaribu kwenda eneo lenye 5G speed ikawa ndogo bado?
Sikuwahi kwenda ila nilitoa taarifa kwao Airtel wakasema Ilo tatizo limetokea baada ya kuwa walikua wanafanya malegebisho but soon ingekaa sawa but after kama 2 weeks ikakubali nikajiunga

Tena kama kawaida yangu nikaweka mizigo ya kutosha torrent almost kama gb 130hiv haikumaliza hata week ikawa slow Tena nikawachek Tena wakaniomba number ya router but nothing happen

ikawa slow hivo hivo mwezii ulivokaribia kuisha wakaongeza speed nikajaribu Tena kuweka mizigo yangu torrent haikumaliza hata siku hapo nikawa nime notice kitu kwamba walinipa baath ya gb tu nitumie Ili nipate nguvu ya kulipia Tena next month
 
Uliwahi ku experience changamoto ya speed kwenye eneo lingine nje ya uTorrent?

Kwasababu uTorrent ina changamoto zake hususani kama unajua mechanism ya zile seeders, leachers na trackers
 
Sikuwahi kwenda ila nilitoa taarifa kwao Airtel wakasema Ilo tatizo limetokea baada ya kuwa walikua wanafanya malegebisho but soon ingekaa sawa but after kama 2 weeks ikakubali nikajiunga

Tena kama kawaida yangu nikaweka mizigo ya kutosha torrent almost kama gb 130hiv haikumaliza hata week ikawa slow Tena nikawachek Tena wakaniomba number ya router but nothing happen

ikawa slow hivo hivo mwezii ulivokaribia kuisha wakaongeza speed nikajaribu Tena kuweka mizigo yangu torrent haikumaliza hata siku hapo nikawa nime notice kitu kwamba walinipa baath ya gb tu nitumie Ili nipate nguvu ya kulipia Tena next month
Mkuu jaribu pia ikiwa slow uende eneo la 5G isijekua wanapiga pin kwenye minara ya 4G tu.
 
Hata uki connect kwenye simu tu speed inakua ndogo sana hata Instagram haifunguki
Ulijaribu kuwasiliana na team leader aliyekuletea?

Ishawahi kutokea kwa rafiki yangu situation kama hiyo na tulimpigia tukamuambia aje na Router nyingine wakati hii akienda nayo ofisini kwao kuifanyia marekebisho.

Alikuja tukampa Router, naye akatuachia nyingine kama mbadala.

Siku kadhaa mbele alikuja kutuletea ile Router yetu baada ya kuifanyia ukarabati. Na hilo tatizo halikuwahi kujitokeza tena.
 
Ilo tatizo lilikuwa kama hili langu?
 
Kama bado mnampango wa kuendelea kutumia Airtel 5g Sina ushauli ila taarifa nilizopata Airtel Wana limit data na sio unlimited router yangu nimelipia mara mbili

nikidownload file kubwa kama mbili tu za gb 45 mtandao unashuka kifurushi kikikaribia kuisha wanapandisha speed after that inashuka Tena nimeenda mpk makao makuu Yao Morocco hakuna msaada wowote zaidi Wanachukua number za router wanasema watafanyia kazi

na nilichokuja kugundua kwa wateja wote wa mwanzo hii changamoto wanapitia ila waliosajiri Ivi soon wote hawapitii hii changamoto kama wanawavuta maji mengi
Wanaumusha sanaa
Dah, kubaabeki! Beta Testers.
 
Back
Top Bottom