WaterNet
Member
- May 6, 2018
- 98
- 175
Malalamiko ya wadau unayaona lakini?
Sema yule wakala alosema ile 200k imetolewa wafanyakazi wa namna ile hawafai kabisa ofisini
Hiki ndio napitia kwenye Supakasi.
Kila nikiongea na customer care wananiambia tatizo lako mtafute Key Account Manager wako ndio anaweza kukusaidia. Nikiwaambia waniangalizie kwenye system wanaruka wanasema hawana access.
Wananiambia tu nenda ulijisajiri watakupatia wakati alienisajili na huduma nilimtoa huku JF na sasa hivi anaruka vipengele vya Voda.
Ushauri wangu ni bora kwenda kwenye maduka makubwa kuliko haya yanayotembea yakisikia unless kifurushi ni cha Backdoor.