Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Niliwatolea povu halotel kwa hii ishu na hawakusema shida nini.
Waliishia tu kuuliza upo sehemu gani mafundi wetu walifanyie kazi tatizo lako.

Now ndio umenifungua macho.
 
Jamani nilikua sijui kuwa Vodacom kifurushi cha chui kimepigwa panga!!!!
Mnanishauri nihamie mtandao gani, wenye kazi na virufushi vya MB vizuri.
 
Nilidownload GTA V ya 54GB kwa siku 2 ila wanatoa <30GB kwa usiku tu
Mimi nilidownload FIFA 19 ndani ya usiku mzima na asubuhi saa 11 kilikuwa limeisha nikaanza jengine likadownload Kama GB 6,

Hizo GB 30 zikiisha kwako inakata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…