Mukhabarat
Member
- Mar 9, 2012
- 90
- 28
DAUDI BALALI aliyekuwa gavana wa benki kuu naye kifo chake kimekaa kimagumashi, haileweki kama kafa kweli au tulipigwa mchanga wa sura!
kibona
Mwaikambo
Kombe
Dr jumaa
Prof haroub
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo
Orodha inaendelea
- Karume
- Edward Moringe Sokoine
- Kighoma Malima
- Horace Kolimba
- Imrani Kombe
- JK Nyerere
- Salome Mbatia
ndiyo wenye macho mekundu wanauwawa,sasa amepotosha nini?:nimekataaacha kupotosha watu, kuchafua kabila la wasukuma nyambafu mkubwa we! unauhakika wazee wanauliwa usukumani?
baba yangu.
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo
Orodha inaendelea
- Karume
- Edward Moringe Sokoine
- Kighoma Malima
- Horace Kolimba
- Imrani Kombe
- JK Nyerere
- Salome Mbatia
hekalu lake kule kunduchi karibu na pale umeme wa Zanzibar unapoanzia limegeuka chaka,sijui huyu bwana hakuwa na ndugu kwa maana ule mhekule umekuwa kama shamba la mkonge lililoachwa bila huduma ,vichaka vimezunguka hilo hekalu ni kama gofu vile
kali kuliko zote,walitangaza kifo cha ballali D. Ambae yuko hai ndani ya state anadunda. Tar 12 oct 2012 anarudi bongo kuwaumbua!
naona wamemchakachua. mzimu wake siuoni hata twitter...!Duh... mbona hajarudi mpaka sasa???