Vifo vya viongozi vyenye utata

katika hao wanaosemekana kuuawa hakuna hata mmoja ubayeweza kusema kauawa kwa ajili ya MASLAHI YA KITAIFA. mmemsahau GOV. DAUDI BALALI ..au kifo cha kwenye karatasi
 
Said Shomari alimwagiwa tindikali kwa kosa la kuzuia ufisadi wa taa za barabara za jiji la Mawe-waliommwagia tindikali walikuwa ni maruhani?

Wajumbe wa Nyanza waliokuwa wanapeleka nyaraka za uuzwaji wa rasilimali na ufisadi mwingine wa kutisha wa NCU (1984) wapendwa wetu akina Stephen Kazi,Joseph Kasubi, Ndonho.
 
Sokoine na Salome Mbatia wote waliuwawa kwa jari za barabra iweje moja umeitolea maelzo kuwa aliuliwa na wahujumu uchumi na mwingine umesema ajari ya barabrani nani alithibitisha hayo...Mbona nasikilia salome mbatia aliuwawa baada ya kugundulika kuwa iko siku ataboa siri ya pesa za EPA maana yeye ndiyo aliepewa jukumu la kuzipokea kutoka kwa makampuni yalio kuwa yanazichukua benki kuu....
Je wewe una taarifa mhimu kulko Vicent Nyerere kuwa Nyerere alikufa kwa ngoma...
kwa kuwa ugonjwa wa Mwakyembe unafanana na wa mwalimu yaani ugonjwa wa gozi je Mwakyembe nae ana ngoma...

Salome Mbatia ndiye aliyekuwa mweka hazina wa ccm wakati wanachukuwa pesa za epa, na yeye ndiye alisimamia mgao uliopokelewa na ccm..... hofu yao akibanwa angevujisha siri za wakubwa.
 
  • Karume - Huyu aliuawa na mwanajeshi ambaye baba yake aliuawa na Karume akimwita ndumila kuwili
  • Edward Moringe Sokoine - Huyu aliuawa na wahuju uchumi akina Rashid Kawawa na Cleopa Msuya
  • Kighoma Malima - Huyu aliuawa na Kikwete kwa presha baada ya kufungiwa akaunti zake za Uingereza
  • Horace Kolimba - Huyu aliuawa na Mkapa na Nyerere baada ya matamshi yake kwamba ccm imekosa mwelekeo
  • Imrani Kombe - Aliuawa na Mkapa baada ya kutuhumiwa kumpigia debe Mrema
  • JK Nyerere - Aliuawa na Gonjwa Kubwa
  • Salome Mbatia - Aliuawa na Ajali za barabarani, labda ilikuwa ajali ya kupangwa.

JE KAMA HAYA YANA UKWELI kwa nini kanisa katoliki tanzania kushilikiana na Uganda zinataka kumpatia nyerere heshima ya utakatifu?
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi … Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere . Kama ifatavyo
  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
Orodha inaendelea
Mimi sitaki kupindisha maneno hapa, ngoja nimwage ***** ...........1.Horace Kolimba kauwawa , muulizeni Philip Mangula na Mkapa2. Mwl Nyerere kauwawa, muulizeni Mkapa na Kikwete kwasababu aliwakataza wasiuze viwanda3.Kighoma Malima aliuwawa4.Tuntemeke Sanga aliuwawa5. Jenerali Robert Mboma kapofuliwa macho6.Amina Chifupa kauwawa kwasababu alitaka kuwataja wazee wa powder7.Stan Katabaro kauwawa8. Mwakyembe si bure yule9. Mwandosya je?Orodha inaendeleaaaaaaaaaaa.................!
 
Mimi sitaki kupindisha maneno hapa, ngoja nimwage ***** ...........1.Horace Kolimba kauwawa , muulizeni Philip Mangula na Mkapa2. Mwl Nyerere kauwawa, muulizeni Mkapa na Kikwete kwasababu aliwakataza wasiuze viwanda3.Kighoma Malima aliuwawa4.Tuntemeke Sanga aliuwawa5. Jenerali Robert Mboma kapofuliwa macho6.Amina Chifupa kauwawa kwasababu alitaka kuwataja wazee wa powder7.Stan Katabaro kauwawa8. Mwakyembe si bure yule9. Mwandosya je?Orodha inaendeleaaaaaaaaaaa.................!

Mboma? Labda wampofushe wenzeke wanaotaka kumzidi kete ule mgodi aliobinafishiwa na Mkapa kuhakikisha kuwa jeshi lipo upande wa serekali

Akina Stan Katabaro wetu wako wapi jamani? Tunataka akina Stan wengine tuone kama watawauwa bila kuwatoa macho
 
Back
Top Bottom