Vifo vya viongozi vyenye utata

Ongeza Daud Mwangosi, Mbwambo, Malima, Rutihinda, Mine, Akili, Uswaa ... ambao hawakufanikiwa kufika akhera madukani ni Dr. Ulimboka, Kubenea, Mengi, Kibanda, JK, Lowassa, Chenge, Lyatonga Mrema ...
 
sir Patrice Lumumba and his comrade, samola macher , Edwardo mondrane, generali okaya, akofu luhumu, Jonas savimbi, Kwame nkurumah, marcom X, Luther king Jr, ni wengi na CCM hawajatoa talwimu za kuridhisha
 
Ongeza Daud Mwangosi, Mbwambo, Malima, Rutihinda, Mine, Akili, Uswaa ... ambao hawakufanikiwa kufika akhera madukani ni Dr. Ulimboka, Kubenea, Mengi, Kibanda, JK, Lowassa, Chenge, Lyatonga Mrema ...
Mengi na jk waliteswaje
 
Walimkosa kosa pale Kilimanjaro Hotel Enzi zile, Walimkosa kosa kwenye nyumba yake ikabidi aruke Ukuta! Kuna wakati walimshindilia hadi Mwanae Madawa ya kulevya!!! JK alidondoshwa Jukwaani mara 3! alipokuwa jeuri zaidi na kutaka kusanua madeals za watu akajikuta msafara wake unapata puncture na incident nyingine walimwekea mafuta machafu! issue ya madawa ya kulevya kwa mwanae sina hakika!!! Ila ninacho fahamu ni kuwa JK ni mmoja wapo wa viongozi wazalendo sana, nakumbuka kuna siku vijana wa halaiki walikuwa wanaimba ule wimbo maarufu wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote; JK akadondosha mchozi kwa uchungu mkubwa! Baada ya kuona kuwa asingeweza kufight pekee yake akaamua kuungana nao kwa tahadhari labda wanaweza kuwaonea Watanzania huruma via diplomasia ... so far hakuna huruma kwa mali za Watanzania hivyo yeye kulazimika kuwashindanisha na Mchina kwenye miradi ya maendeleo... Take time chunguza dhamira za JK then utaelewa ninachokiandika hapa...
 
Back
Top Bottom