Vifo vya viongozi vyenye utata

Ipyana Malecela
Amina Chifupa
Dr. Nicas Mahinda
Abdallah kassim Hanga
Sheikh Othman Shariff
Gibson Mwaikambo
Dr.Omary Ally Juma

Dr. Omary A. Juma nadhani alikuwa Makamu wa Rais wa Mkapa! nae nani kamuua?
 
Je na yule gavana wa benki kuu ambaye inasemeka yupo hai lakinu umma umetangaziwa kuwa amekufa na hakuna mtu aliyehudhuria mazishi yake,tuseme nini?:sleepy:
 
acha kupotosha watu, kuchafua kabila la wasukuma nyambafu mkubwa we! unauhakika wazee wanauliwa usukumani?


Msamehe huyo hana adabu!.. Ila tuseme ukweli Albino, wazee wenye macho mekundu na wale wote mnaohisi kuwa ni wachawi mnawaacha?. ..Kwa maana nyingine mnakubaliana na Wahaya wasemao, "ukigundua harufu mbaya msibani, ujue aliye-jamba ni mtu ambaye unamuona ana sura mbayaaa!".. Wazuri hawaguswi!.. Unasemaje?
 
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi …
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo

  • Karume
  • Edward Moringe Sokoine
  • Kighoma Malima
  • Horace Kolimba
  • Imrani Kombe
  • JK Nyerere
  • Salome Mbatia
Orodha inaendelea

Gilman Rutihinda gavana wa bank kuu .alikufa huku kukiwa na maadai yakuwa alikuwa na pesa nyingi nje .baada ya kifo chake akafa na ndugu yake iliyekuwa london iliesadikiwa ndio msimamizi wa pesa zake nje .walikufa mfululizo in two month time
 
Wewe! wakikusikia wenyewe wasukuma ! teh teh teh ..shauri yako ! mie nilisema tu Nyerere nae alizidi kuzeeka siku zake zilifikia mwisho, hata hivo nikaongeza mambo yake ya kbana watu wakati wenzake wameshaonja vijiasali ndio wakamuondoa, lakini pia nimesikia alikuwa na Gonjwa kuu so huyu Vincent inaweza kuwa mchochezi tu mkubwa ! lakini hata hivo "kila Binadamu ataonja umauti siku yake ikifika. sasa kwanini tunajadili ?
so hakuna sababu ya kufanya investigation za vifo?
 
Je na yule gavana wa benki kuu ambaye inasemeka yupo hai lakinu umma umetangaziwa kuwa amekufa na hakuna mtu aliyehudhuria mazishi yake,tuseme nini?:sleepy:

kutokana na kuangalia angalia movies na seriez za ki-intelijensia kama NIKITA naanza kuamin kuwa he's alive
 
Acheni kupotosha, kwani RMK na CDM walihujumu uchumi upi? Mbona hizo habari ndio tunaanza kuzisikia sasa na EMS alikufa1984?
 
Mbona hujamtaja Chacha Wangwe? au kwakua inasemekana chama unachokishabikia kinahusika na kifo chake

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kama inasemekana lakini Polisi imeshindwa kuwakamata wahusia huu ni udhaifu mkubwa wa CCM, usalama wetu uko hatarini maana kumbe tuna weza kuuliwa na na muaji asikamatwe..
 
Back
Top Bottom