Vifo vilivyoniumiza JF

May All Beings Attain Enlightenment.

🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Nipo na warumi huku peponi nimemuonesha comment yako kasema sio kweli. Umemsingizia.
 
Kwamba wanawake hawafi?

Kuna msemo hua nasikia wanaume hufa mapema zaidi kwa sababu ya kubeba mambo mengi sehemu ya kulia badala alie ana kaza

Hata ku share matatizo yake hawezi anahangaka nayo
But sina uhakika kama hii sababu ina mashiko
Ina mashiko kweli Bado vitani ni sisi wanaume!
 
Poleni wote kuguswa na Vifo vya wajumbe wenzetu hapa JF

Baadhi nimewahi ku- interact nao kwenye majukwaa kadhaa humu

Kwa kweli ni huzuni iliyoje kusikia habari za kifo cha mtu/watu unaofahamiana nao kwa namna moja ama nyingine

Lakini yapo maneno ya matumaini kwamba, Kuna siku tutakutana nao huko walipoenda
 
Nime-search username Valentina inaonyesha kweli ni RIP, huyu memba alikuwa active sana humu last seen inaonyesha sept 2nd 2025.

Kwa miaka ya nyuma kidogo kuna yule jamaa folk aliondoka kwa kansa ya kongosho,Mungu awarehemu na wote walioondoka bila kupata taarifa za vifo vyao.
 
Job 14: 1-2

[1] Man that is born of a woman is of few days, and full of trouble.
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.

[2] He cometh forth like a flower, and is cut down: he fleeth also as a shadow, and continueth not.
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…