Vidume Vya Humu Ndani Vingepona kweli...!!

Vidume Vya Humu Ndani Vingepona kweli...!!

number 4 will be the weapon,na Paloma anamiliki hiyo kitu sijui kama unalijua hilo!!!!
attachment.php

tena imejaa risasi, na safety pin ishakwatuliwa!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Mr Rocky.. Mwenzio nikichelewa kurudi Paloma ananikagua kwanza kifanyio cangu.. Akigundua kimetoka kutumika kazi ninaipata.. Anahakikisha kifanyio changu anakiloweka kwa kifanywa chake usiku mzima.. Aiseee adhabu ni mbaya hii afadhali hata upigwe na jembe kichwani..

Hiyo inaitwa kupima oil mkuu.
 
Last edited by a moderator:
What i know well kutoka kwako ni kuwa una familia nzuri
na unao upendo wa kutosha kwao,
kuhusu penda penda soma hii hapa

[TD="class: xl67"]Yakobo[/TD]
[TD="class: xl65"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]7[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.[/TD]

[TD="class: xl67, width: 54"]Yakobo[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]8[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili. [/TD]

Kwa upande wa familia kwa kweli ninayo na naipenda sana sana familia hiyo na ni mojawapo ya kitu cha muhimu sana maishani mwangu@mamndenyi
Asante kwa hayo na maombi yako
 
Back
Top Bottom