Hii picha ya Mamndenyi akiikuta humu Katavi na ndoto za kumuoa zitakuwa zimeisha
Copy Madame B na Passion Lady ; Paloma maana huwa nae anamfanyia hayo sosoliso na Lady doctor maana Arushaone ndo atakutana nacho na Bishanga maana The secretary ndo ameandaa hayo kwa kutoonekana kwake na Baba V maana Mama v ndo zake na Chocs maana Erickb52 mhhh hapumui
Ndio kisa cha kumtwanga Mamndenyi talaka hiki...?Hii picha ya Mamndenyi akiikuta humu Katavi na ndoto za kumuoa zitakuwa zimeisha
Copy Madame B na Passion Lady ; Paloma maana huwa nae anamfanyia hayo sosoliso na Lady doctor maana Arushaone ndo atakutana nacho na Bishanga maana The secretary ndo ameandaa hayo kwa kutoonekana kwake na Baba V maana Mama v ndo zake na Chocs maana Erickb52 mhhh hapumui
Hii picha ya Mamndenyi akiikuta humu Katavi na ndoto za kumuoa zitakuwa zimeisha
Copy Madame B na Passion Lady ; Paloma maana huwa nae anamfanyia hayo sosoliso na Lady doctor maana Arushaone ndo atakutana nacho na Bishanga maana The secretary ndo ameandaa hayo kwa kutoonekana kwake na Baba V maana Mama v ndo zake na Chocs maana Erickb52 mhhh hapumui
Ha ha a aaahhh!! sosoliso ipo siku huyo waifu wako atakuchenjia na kutoa adhabu kali zaidi ya hiyo..
Kama ndio "wake zetu" wa humu Chit Chat wangekuwa kama huyu dada, kila siku tungekuwa tunashinda hospitali kuuguza majeraha na zaidi mochwari kungezidiwa........
View attachment 100005
Hapana kumtisha mwenzio Mr Rocky kwani wakati wewe unaenda na kuishia huko huko ulikutana na hii kwangu kweli? Si unakumbuka nilikuwa nakuombea kama hivi, japo pia umenipa talaka ila naendelea kukuombea kama hivi
![]()