Vidume Vya Humu Ndani Vingepona kweli...!!

Vidume Vya Humu Ndani Vingepona kweli...!!

Wewe Katavi wewe.. Unamjua Nivea..? Mtoto kama mmakonde ukitoka pale kifanyio kinalala.. Sasa nifike home halafu waifu Paloma astukie kwamba kifanyio chake kimechoshwa.. Na mbaya kabisa na Nivea.. Lol

number 4 will be the weapon,na Paloma anamiliki hiyo kitu sijui kama unalijua hilo!!!!
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Hii picha ya Mamndenyi akiikuta humu Katavi na ndoto za kumuoa zitakuwa zimeisha
Copy Madame B na Passion Lady ; Paloma maana huwa nae anamfanyia hayo sosoliso na Lady doctor maana Arushaone ndo atakutana nacho na Bishanga maana The secretary ndo ameandaa hayo kwa kutoonekana kwake na Baba V maana Mama v ndo zake na Chocs maana Erickb52 mhhh hapumui

binamu Mr Rocky, mie sosoliso akichelewa huwa namwambia bora arudi kesho yake mida kama ile anatoka kazini......
 
Last edited by a moderator:
What i know well kutoka kwako ni kuwa una familia nzuri
na unao upendo wa kutosha kwao,
kuhusu penda penda soma hii hapa

[TD="class: xl67"]Yakobo[/TD]
[TD="class: xl65"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]7[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.[/TD]

[TD="class: xl67, width: 54"]Yakobo[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]8[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili. [/TD]


Mamndenyi endelea kuniombea aise hili pepo la penda penda liishe niwe mtu mwema kabisa
 
Ha ha ha Mr Rocky.. Mwenzio nikichelewa kurudi Paloma ananikagua kwanza kifanyio changu.. Akigundua kimetoka kutumika kazi ninaipata.. Anahakikisha kifanyio changu anakiloweka kwa kifanywa chake usiku mzima.. Aiseee adhabu ni mbaya hii afadhali hata upigwe na jembe kichwani..

hahahahaaaa.......pole sasa!!!
 
Back
Top Bottom