Vidume Vya Humu Ndani Vingepona kweli...!!

Vidume Vya Humu Ndani Vingepona kweli...!!

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Arabela kuja kipande hii uone mbinu ya kumfanya Zubedayo awe anashinda nyumbani...
 
Last edited by a moderator:

binamu mwambie Katavi
mabaunsa wa kike tupo sana
wenzake wanachezeaga kichapo hevi
wakichelewa!
 
Last edited by a moderator:
Wewe domo zege wapi, nafanya mambo yangu kimyakimya.....utabaki mdomo wazi siku nikimuweka Mamndenyi ndani.

Sasa Katavi mbona unakuwa nyoronyoro hadi mkeo mtarajiwa Mamndenyi anakata tamaa!?
Kama sasahivi niko nae nampa good time wakati bado unajipanga. Akikukataa tusije tukaanza kutafutana hadi ukatumia kitu cha witch doctor!
 
Last edited by a moderator:
Sasa Katavi mbona unakuwa nyoronyoro hadi mkeo mtarajiwa Mamndenyi anakata tamaa!?
Kama sasahivi niko nae nampa good time wakati bado unajipanga. Akikukataa tusije tukaanza kutafutana hadi ukatumia kitu cha witch doctor!

Kwa sasa bado sijahalalishiwa, nikishamuweka ndani sidhani kama kuna kidume kitasogeza pua yake kwake hahahahaaah!!
 
Ntapata wapi mwanamke wahivi nimuwowe kabisa!
 
Back
Top Bottom