Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Yadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.
Unafikiri kuna yeyote anapanda gari bila ulazima?Kama huna ulazima usifanye route xa gerezani hasa mida ya jioni au asubuh, ni hell.
Tembea kwa mironjoTutafute hela
Possible mwendokasi is hellYadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.
View attachment 3428200
View attachment 3428199