ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,972
- 3,904
Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchini kiutalii zaidi ya filamu aliyoicheza chief.
Katika documentary yake kuhusu mambo mbalimbali ya utamaduni ya Tanzania ameweza kupata views milioni moja ndani ya siku moja huku akiipiku royal tour ambayo hata view laki mbili haijafikisha.
Kwanini serikali isitumie watu Kama Hawa na sio watu wenye connection chache Kama peter.
Huyu Mzungu documentary yake ametengeneza kwa pesa yake mwenyewe , hajachangiwa na Tanzania foundation sijui Nininini Sasa watanzania mtafakari, naweka link ya documentary aliyetengeneza na kupata views mil 1 ndani ya siku 1 inahusu tanzania
Soma Uzi, hujaelewa chochote BossNimesoma heading tu, mtu tayari ana followers wengi, means ameanza kujitengenezea Channel kwanza. Mbona hata Harmonize anafanya hivyo
Waswahili Ni takataka kabisa.Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchini kiutalii zaidi ya filamu aliyoicheza chief.
Katika documentary yake kuhusu mambo mbalimbali ya utamaduni ya Tanzania ameweza kupata views milioni moja ndani ya siku moja huku akiipiku royal tour ambayo hata view laki mbili haijafikisha.
Kwanini serikali isitumie watu Kama Hawa na sio watu wenye connection chache Kama peter.
Huyu Mzungu documentary yake ametengeneza kwa pesa yake mwenyewe , hajachangiwa na Tanzania foundation sijui Nininini Sasa watanzania mtafakari, naweka link ya documentary aliyetengeneza na kupata views mil 1 ndani ya siku 1 inahusu tanzania
Ni nzuri sanaKuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchini kiutalii zaidi ya filamu aliyoicheza chief.
Katika documentary yake kuhusu mambo mbalimbali ya utamaduni ya Tanzania ameweza kupata views milioni moja ndani ya siku moja huku akiipiku royal tour ambayo hata view laki mbili haijafikisha.
Kwanini serikali isitumie watu Kama Hawa na sio watu wenye connection chache Kama peter.
Huyu Mzungu documentary yake ametengeneza kwa pesa yake mwenyewe , hajachangiwa na Tanzania foundation sijui Nininini Sasa watanzania mtafakari, naweka link ya documentary aliyetengeneza na kupata views mil 1 ndani ya siku 1 inahusu tanzania
Sasa mtu ana wafuasi milion nane na Samia ana wafuas wangapi mpaka iwe sawa tumia akili kufikiri.Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchini kiutalii zaidi ya filamu aliyoicheza chief.
Katika documentary yake kuhusu mambo mbalimbali ya utamaduni ya Tanzania ameweza kupata views milioni moja ndani ya siku moja huku akiipiku royal tour ambayo hata view laki mbili haijafikisha.
Kwanini serikali isitumie watu Kama Hawa na sio watu wenye connection chache Kama peter.
Huyu Mzungu documentary yake ametengeneza kwa pesa yake mwenyewe , hajachangiwa na Tanzania foundation sijui Nininini Sasa watanzania mtafakari, naweka link ya documentary aliyetengeneza na kupata views mil 1 ndani ya siku 1 inahusu tanzania
Kwa bilioni 11, lakini wafikiwa ni wachache, Hangaya anajua hiliMzungu amebase kwenye tamaduni za vyakula ila Mh Rais kaamua kuitangaza Tanzania kiujumla kupitia vivutio vilivyopo nchini
Ni nzuri sanaNimeipenda saaaaaaaaana
Matokeo ni mchakato royal tour sio Mwamposa anakuombea unapona hapohapo swala la walengwa kuwa wachache lisikupe tabu hao wachache waliona watakuwa mawakala kwa wengine wengi.Kwa bilioni 11, lakini wafikiwa ni wachache, Hangaya anajua hili
Mkuu uwe unamalizaga kusoma uzi wote uelewe maana hili naona ni tatizo lako kubwa mara nyingi unasemaga hivhivi kuwa umeishia heading tu halafu unacomment out of topic!! Ungesoma hadi nwisho ungeelewa mleta mada anadhamiria kufikisha ujumbe ganiNimesoma heading tu, mtu tayari ana followers wengi, means ameanza kujitengenezea Channel kwanza. Mbona hata Harmonize anafanya hivyo