Video ya Lulu yazua gumzo mitandaoni

Video ya Lulu yazua gumzo mitandaoni

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,466
Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , aka lulu, imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo hasubuhi,ambapo msanii huyo alipo ipost kwenye ukurusa wake wa instagram. Video hiyo ikimuonyesha msanii huyo akicheza wimbo wa mwanamuziki maarufu nchini, diamond platnums, unaojulikana kama nana /sankoro, imewashangaza watu, haswa kwa uchezaji mzuri:thumbup: na style ya msanii huyo.

Wadau mbali mbali walimpongeza staa huyo, kwa uwezo wake wa kukizungusha kiuno na uchezaji wa aina yake, uliowafanya watu wengi wavutiwe na video hiyo, ambayo imezagaa kwenye mtandao maarufu wa instagram.
 
Lulu Michael akicheza sankoro
 

Attachments

  • 1433704340669.jpg
    1433704340669.jpg
    53.4 KB · Views: 3,277
+Mi niliipenda hii ya Gigi money!

+Kweli sankoro imeleta balaa mjini
 

Attachments

  • 1433707273608.jpg
    1433707273608.jpg
    14.9 KB · Views: 2,277
  • 1433707291991.jpg
    1433707291991.jpg
    15.2 KB · Views: 2,184
  • 1433707307151.jpg
    1433707307151.jpg
    14.8 KB · Views: 2,147
Dah lulu kweli anajua kukata kiuno" acha wakufe tu watu noma sana niliona video nikarudia mara10 10. Ananyonga lainii
 
Back
Top Bottom