Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,488
Katingisha wapi,ana face nzuri ila kutingisha hawezi kiuno ngumu,mnaosema anajua kukatika labda mmeangalia video nyingine
Labda wanamwonea huruma kwa kuwa alifiwa....
Katingisha wapi,ana face nzuri ila kutingisha hawezi kiuno ngumu,mnaosema anajua kukatika labda mmeangalia video nyingine
Uwa sibishani na mamburulaz
Ha ha ha kiuno pale hakuna kitu labda atuoneshe picha ya kitandani maana viuno vinatofautiana
Uzuri wa meninah uko wapi?
Khaa!!usiniambie hujaona kama meninah ni mzuri??anyway kila mtu ana definition yake ya uzuri kwa vigezo vyake,kwangu mimi Meninah ni Mzuri sana.
Khaa!!usiniambie hujaona kama meninah ni mzuri??anyway kila mtu ana definition yake ya uzuri kwa vigezo vyake,kwangu mimi Meninah ni Mzuri sana.
Mwambie ajiheshimu nitamnyea mpaka achanganyikiwe, siogopi mtu wa aina yeyote humu mxiuuuu... nimekusikia binamu yangu aka mbea mwenzangu hahaha kwa heshima yako
Yule mtoto mzur bhana, sema akijifanya tomb boy ndo anaaribu aisehh, zile swaga zina wenyew, yule mrembo sana
Ila sasa ivi anataka kujifanya tomb boy anaharibu, nimeona video yake kwa diamond, big no kwa kwel, hayo mambo awaachie wenyewe.
Menina mzuri sana kwa macho yangu.
Ana rangi mwanana, tabasamu zuri, mguu mzuri, macho na lips nzuri sema tuuuu....
Sasa kanakalia nini?
Tatizo wanadhani ukiwa Jukwaa la Siasa ndo Great Thinker wakati wengine tumezeekea huko tangu enzi na enzi baadae tukajionea ni jukwaa linaloweza kukuzeesha mapema... jukwaa gani lile hata totoz za ukweli kama my Eshy m.s hamna!MLiitwa uku? Si umbea wenu ndo uliowaleta, ebu tutoleen vinyeo vyenu apa
Uzuri wa meninah uko wapi?
Menina mzuri sana kwa macho yangu.
Ana rangi mwanana, tabasamu zuri, mguu mzuri, macho na lips nzuri sema tuuuu....
Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , aka lulu, imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo hasubuhi,ambapo msanii huyo alipo ipost kwenye ukurusa wake wa instagram. Video hiyo ikimuonyesha msanii huyo akicheza wimbo wa mwanamuziki maarufu nchini, diamond platnums, unaojulikana kama nana /sankoro, imewashangaza watu, haswa kwa uchezaji mzuri:thumbup: na style ya msanii huyo.
Wadau mbali mbali walimpongeza staa huyo, kwa uwezo wake wa kukizungusha kiuno na uchezaji wa aina yake, uliowafanya watu wengi wavutiwe na video hiyo, ambayo imezagaa kwenye mtandao maarufu wa instagram.