Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,488
SI uwatundikie waionee
Aaah!Watazirai weee, kaah! Iko kiuno kama feni afu lainiii...msukuma anafaudu sana.
SI uwatundikie waionee
Uo umaarufu niutafutie kwako kwa kitu gani haswa? Wewe una kichaa sio bure.... Sasa ukiwa mwanaume wa mtu mimi nikusaidiaje? Au unawashwa?
Binamu...kama kiuno kigumu vile na ule mtumbo pale ndio kujua basi mahaba yamekutengua macho... kawaida kabisa.Wewe umeiona video ya Dinazarde?
mbona kawaida sanaaaaaaaaa
hana maajabu yoyote
ndo anatafuta soko au?
kwa style ile...asitegemee kumpata wa kumuoa labda kipofuuu..
mara elfu ya wema sepetu....!!!!
Ha ha ha kiuno pale hakuna kitu labda atuoneshe picha ya kitandani maana viuno vinatofautiana
umeona eeee...
sema warumi akipenda kitu ht km kimeoza atasifia
Ooohhhh lalaaaa.....ni hatari aiseee.Maisha bwana
Ahahaha ahahaha dah, ila mbona sio mfupi wa hvyo jaman
Who tha f.uck is gingy money?
huyuu lulu ndo maana alipewa ufupi
MUNGU fundi wa mafundi jamani
meninah sasa hivi amejiachia sana,ameshanenepa mpaka uzuri wake umepungua
Uzuri wa meninah uko wapi?
Khaa!!usiniambie hujaona kama meninah ni mzuri??anyway kila mtu ana definition yake ya uzuri kwa vigezo vyake,kwangu mimi Meninah ni Mzuri sana.
Unanilipa au unajua kuropoka tu?
Kiukweli mie namuona wa kawaida kabisaaaa labda hiyo shape yake ndio ni nzuri