+Mi niliipenda hii ya Gigi money!
+Kweli sankoro imeleta balaa mjini
Mi nilipenda alivyokuwa akijibinua, kalulu kazur sana aseh
imebamba mbaya
Umeona eeh? MImi apa nairudia kila wakat
Si namsifia tu binamu jaman
Chibu noma anawachezesha hadi mastaa kina Nisha.
ahahahaa!!nisha amedata yule mwanamke hakyamungu,Meninah la diva nayeye amecheza Sankoro,
ahahahaa!!nisha amedata yule mwanamke hakyamungu,Meninah la diva nayeye amecheza Sankoro,
Username yake ni ipi?
Imerushwa na Diamond Platnumz utaona username yake pia. Na za wengine
Username yake ni ipi?
Nisha toka apate tuzo ya comedy basi ni full kujikomedisha.
Menina naye nimependa alivyoyarudi.
nishabebee