Video ya Lulu yazua gumzo mitandaoni

Video ya Lulu yazua gumzo mitandaoni

Hamna kacheza kawaida tu sema wanampaisha tu..kiuno kigumu kile tako lenyewe hamna.
 
Uliona video? Mtoto anakikata kiuno hatar, anajua bhana

Binamu...kama kiuno kigumu vile na ule mtumbo pale ndio kujua basi mahaba yamekutengua macho... kawaida kabisa.Wewe umeiona video ya Dinazarde?
 
Last edited by a moderator:
Sikuelewi ujue!!?nakuona tu tangu mchana lulu alivyokurusha roho!haya bwana tutakusahau sasa hivi
warumi alivyo na roho ya kirumi hawezi kufa beb! hahahaaa!
 
Last edited by a moderator:
MLiitwa uku? Si umbea wenu ndo uliowaleta, ebu tutoleen vinyeo vyenu apa

Kumbe una nidhamu mbovu hivi heshima kitu cha bure ujue,usitafute umaarufu wa kijinga humu na usipende kuparamia kila mwanaume wengine waume za watu.
 
Kumbe una nidhamu mbovu hivi heshima kitu cha bure ujue,usitafute umaarufu wa kijinga humu na usipende kuparamia kila mwanaume wengine waume za watu.

Uo umaarufu niutafutie kwako kwa kitu gani haswa? Wewe una kichaa sio bure.... Sasa ukiwa mwanaume wa mtu mimi nikusaidiaje? Au unawashwa?
 
Uo umaarufu niutafutie kwako kwa kitu gani haswa? Wewe una kichaa sio bure.... Sasa ukiwa mwanaume wa mtu mimi nikusaidiaje? Au unawashwa?

Huwa sipendi kujibizana na machangu.
 
Kwa kweli kiuno kugumuuu,
Kuhusu tako no comment.

Mi nimependa kwenye picha ya pili iyo ya kati kati wakat anakizungusha kiuno, dah uwa nairudia mara kumi kumi, lulu kajua kunikosha dah
 
Back
Top Bottom