Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

Halafu baada ya kubebwa na kuangalia tamasha la bure wanaondoka
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa unahisi wangetosha kwenye guta au ulitaka wakanyage na gari za bure zipo?..
Usiumie na vitu vidogo ivyo vina mwisho wake.
 
Wanachotaka hapo in kudanganya Dunia kwamba wanakubalika. Si unaona mkubwa anavyosema asanteni sana kwa mafuriko haya wakati hapo ni wanafunzi, watoto, wafanyakazi waliolazimishwa na vijana waliofuata tamasha la bure.

Kadhalika kufanya uwanja wa Taifa ni kuvuta watu ambao hawajawahi kuingia pale waende wakaone kuna nini kule ndani. Baadaye, umati huo utatumika kuhadaa Ulimwengu kuwa watu wana upendo na chama na watawala pia.
 
Sasa unahisi wangetosha kwenye guta au ulitaka wakanyage na gari za bure zipo?..
Usiumie na vitu vidogo ivyo vina mwisho wake.
Wangetembea kwa miguu maana hawana thamani
 
Wanajidanganya wao na wajinga wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…