Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

Halafu baada ya kubebwa na kuangalia tamasha la bure wanaondoka

 
Hakika wanaCCM wameendelea kujionesha kuwa wao ni bora liende. Haiwezekani mwanadamu unampakia kwenye usafiri wa kuhatarisha maisha yake kiasi hiki.

View attachment 1594989
Hao chini ni Ng'mbe wa Mbowe wakiwa wanapelekwa mnadani kuchinjwa
IMG_-rw8neg.jpg
 
Sasa unahisi wangetosha kwenye guta au ulitaka wakanyage na gari za bure zipo?..
Usiumie na vitu vidogo ivyo vina mwisho wake.
 
Wanachotaka hapo in kudanganya Dunia kwamba wanakubalika. Si unaona mkubwa anavyosema asanteni sana kwa mafuriko haya wakati hapo ni wanafunzi, watoto, wafanyakazi waliolazimishwa na vijana waliofuata tamasha la bure.

Kadhalika kufanya uwanja wa Taifa ni kuvuta watu ambao hawajawahi kuingia pale waende wakaone kuna nini kule ndani. Baadaye, umati huo utatumika kuhadaa Ulimwengu kuwa watu wana upendo na chama na watawala pia.
 
Sasa unahisi wangetosha kwenye guta au ulitaka wakanyage na gari za bure zipo?..
Usiumie na vitu vidogo ivyo vina mwisho wake.
Wangetembea kwa miguu maana hawana thamani
 
Wanachotaka hapo in kudanganya Dunia kwamba wanakubalika. Si unaona mkubwa anavyosema asanteni sana kwa mafuriko haya wakati hapo ni wanafunzi, watoto, wafanyakazi waliolazimishwa na vijana waliofuata tamasha la bure. Kadhalika kufanya uwanja wa Taifa ni kuvuta watu ambao hawajawahi kuingia pale waende wakaone kuna nini kule ndani. Baadaye, umati huo utatumika kuhadaa Ulimwengu kuwa watu wana upendo na chama na watawala pia.
Wanajidanganya wao na wajinga wenzao
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom