Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

Vyama vya upinzani ni wapuuzi, mnatuonyesha ujinga kwani nanyi mmekatazwa kuwabeba wa kwenu, shida ya vyama vya upinzani ni njaa na ubinafsi uliopitiliza. Siku mkibadilika akili zenu tutawachagua. Badala ya kueleza sera na mikakati ya kutuletea maendeleo mnatumia muda wote wa kampeni kulalamika na kubeza yaliyofanywa na CCM. BAdo sijaona chama cha upinzani chenye ukomavu wa kukamata dola nahisi hata ikitokea mmepata dola mtagombana wenyewe kwa wenyewe mpaka miaka mitano iishe. Acheni wenye, utazani mmesomewa albadili.
 
Tofauti unayoshindwa kuijua wewe ni moja tu, Chama cha mbowe fedha za ruzuku na michango zinaenda kwenye Faru John, lakini Chama Cha Mapinduzi chama dume na chama imara kina uchumi ulio imara.
Naona mbowe anashikiwa bango sijui kala ruzuku. Okay.. CAG alipopiga ukaguzi.. hakupatikana na kosa lolote la ubadhilifu.
Akafanyiwa mahojiano na takukuru.. nako wakamkosa.

Swali unaushahid na unachokisema?
 
Naona mbowe anashikiwa bango sijui kala ruzuku. Okay.. CAG alipopiga ukaguzi.. hakupatikana na kosa lolote la ubadhilifu.
Akafanyiwa mahojiano na takukuru.. nako wakamkosa.

Swali unaushahid na unachokisema?
Ushahidi mmetuonyesha mlipoanza kuomba michango ya kuendesha kampeni wakati ruzuku mnapewa.
 
Ila mtoa mada acha uongo,mimi nimeona hio lowbed imebeba construction materials kupeleka site(huko kwny SGR) ila wewe unasema hao ni makada?

Kumbe makada wanafanania Na construction materials?hahahah hiiiiiiiiiiiii wabheja sana.
 
Vita dhidi ya ujinga bado ni kubwa sana. Na shidi iko hiviii, ujinga ukitamalaki, hata werevu hugeuka kuwa wajinga
 
Chama Cha Mafisadi
tapatalk_1601696247711.jpeg
 
Ushahidi mmetuonyesha mlipoanza kuomba michango ya kuendesha kampeni wakati ruzuku mnapewa.
Huo sio ushahidi. Kama vyombo vya serikali vilimkugua vikamkuta hana kosa. Ww ni nani wa kupinga uchunguzi wao?
Maana naona unaandioa ngonjera lakin ushahidi huna.
 
ivi trafic akipiga iyo gari mkono inakuaje aulize kama iyo ni mizigo itakuaje nawaza
 
Hivi kwanini kuwepo kampeni? Hizi ni mbinu za kampeni ili kujaribu kupata watakaokupigia kura. Huyo anayepewa lift kama ni mpenzi wa mgombea mwingine, kwa kuhudhuria anaweza kubadili mtizamo. Hivyo si mbaya kuwasomba watu ili wamsikilize mgombea maana hawezi kufika nyumba kwa nyumba
Basi wawasafirishe kwa nidhamu kuliko kuwageuza kama magunia ya mihogo
 
Kwa kweli wapinzani sasa mnatia kichefuchefu na mnatupa kila sababu ya kua mbali na nyinyi.
Hivi tangia lini mwizi akajipeleka kuiba huku akijionyesha wazi wazi???
Hivi nani atakye thubutu awakusanye watu bila ridha yao bila kuogopa kuonekana na kuwapeleka kwenye mikutano yao??
Basi kama ni hivyo itakua vyama vyote mna fanya hivyo hivyo. Hiwi ukamuambia mtu ni mchawi bila wewe mwenyewe kua mchawi.
Jaribuni kutafuta mbinu nzuri ya kupambana, tunahitaji upinzani lakini uwe upinzani wenye maana
 
Back
Top Bottom